The Economist na Mauongo Yao Kuihusu Tanzania: Waidanganya Dunia Tuna Torture Wakimbizi! Wanapata Faida Gani? Kwanini Tunanyamazia Uongo Huu?

reserch inajibiwa na research, ila msimshambulie pascal, tujibu hoja zake ndio mjadala utakuwa mzuri.

kwamba mwenye macho haambiwi tazama, mahoteli, viwanda vinafungwa, wawekezaji wanakimbia, yaliyotokea kanbla na baada ya oktoba 28 kila mtu anajua.
 
Kungekuwa na PhD ya unafiki ungestaili kabisa kutunikiwa.
 
Mungu awabariki sana rafiki zetu wazungu.
 
Kiongozi bora ungekaa kimya wazungu hawakurupuki hata siku moja. Kama kuna mahali tulibug bora tujisahihishe..Mzee pambana KAMANDA uteuzi lazma upate!!

Sent from my SM-G920F using JamiiForums mobile app
 
Polisi mnaopita hapa pigeni sana sana hao Wakimbizi wengi ni Majizi, pumbavu zao hao walioandika habari za kipimbi, lini na wapi Polisi akaingia kwenda kukamata mkimbizi ndani ya Camps???? Ndani ya Camps kuna Utawala wake chini ya Idara ya Wakimbizi inshort camps ni Soverign site. Waaache ujinga wa kuishambulia Tanzania hao wakimbizi wanaotoroka kambini kuja Uraiana wataendelea kuchapwa na kuchukuliwa hatua za Kisheria na wengine watauliwa sana tu na Wanavijiji maaana Wamechoshwa na Wizi wao.
Wakimbizi hao hao Wanateka Mabasi na kuwaibia Watanzania na kuwaua... STORI YA JAMBAZI KOMANDOO WA KIRUNDI kadogooooo IKO HUMU JF. Mbona hao MABEBERU HAWAJI NA UTAFITI KUJUA huyo Mkimbizi Jambazi Kadogooo aliua Watanzania Wangapi kwa kipindi cha Ujambazi wake miaka zaidi ya 10.
Ujangili wa Tembo huko Misitu ya Tongwe, Ujambazi Ndani ya Kibondo, Mauaji huko Kasulu ni Wahutu hao hao.
Tukio Baya kabisa la Ujambazi lenye sura ya Kivita pale Ubungo mataa Wafanyakazi wa NMB WAMI wakiuliwa kama kuku ni WAKIMBIZI WAHUTUUU.
Hakika tumewalea sana hawa Viumbe wasiofugika na hatimaye sasa wameamua kuingia kwenye ajira za Watanzania lkn kuna Baadhi ya Viroboto humu wanawateteaaa????
Kwa taarifa yenu hao Wakimbizi wahalifu wanapigwa mmoja mmoja mpaka wanyoooke, This is Tanzania! haturudi Nyuma.
 

Sijawahi kuona gazeti la wasema kweli kama the economist.
 
Pascal hata Kiswahili hujui? Mauongo ndiyo nini? Kwa lugha tu isiyo sanifu, andiko lako linatia kinyaa hata kusoma.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Lea wajukuu achana na huu ukuda wa kupiga mapambio feki
 
Achana nao, tuko vita ya kiuchumi.
Kila baya tuta singiziwa, hatubabaiki wala hatushtuki.
 
Achana nao, tuko vita ya kiuchumi.
Kila baya tuta singiziwa, hatubabaiki wala hatushtuki.
Wamarekani kupitia CDC wameiweka Tanzania kama nchi ya hatari sana kwa kuwa na maambukizi ya Covid19. Na Tanzania iko level 4;

juzi jumatano, watu zaidi ya 2800 wamekufa Marekani ndani ya siku moja.
Tanzania shule na huduma za kijamii ikiwamo nyomi ya daladala na watu kupumiliana iko kama kawaida na bila barakoa na kunawa kwa maji tiririka wala vitakasa mikono.

Wazungu wakiwa na maslahi yao wanafanya kila wawezalo kwa hila au hujuma lengo lao kufikiwa.

Wakati wakoloni wanakuja Afrika walisema it's a darken and poor continent.
Yet Ujerumani alipigana vita na akina Mkwawa, Milambo na Kinjekitile ili aweke miliki ya Germany East Africa nchi hio kama kampuni lake akitegemea katani, pamba, kahawa, chai na madini chungu mzima.

Nyerere aliwahi kusema, mtu mwenye akili, akikuambia jambo la kipumbavu na ukamkubalia; atakudharau sana.

Wazungu kuna wakati wanaweka mambo ya kipumbavu kama propaganda chafu dhidi yetu.

Tusiwakubalie; tusimame na maslahi ya Tanzania kwa kizazi cha sasa na kijacho.
 
Hata waliouawa haukujutia wala kusikitika, uliona ni sawa tu.
 
Bora unasomaga mavitu yanje yakingresa unatuletea wavivu wa kuyatafuta. Umeyaleta kistaili yawoga usije ukaCrispiniwa lkn kama tundu lissu alipigwa marisasi na mpaka leo nikimya basitena tuishi kwa tahadhari nikubaya! ama namnagani?!?
 
Wew maneno yako hayo umefanyia research wap?, Ushawah kufika kambi ya wakimbizi yoyote, # mm hometown n kigoma# huwa tuanongea nao na sijawah sikia kitu Kama hichi na kinacuoendana na hiki, tatzo some black people they think that white people are Gods, kwamba walichosema hakuna kukichakata kichwan n kukiamin tuu na kukihubiri
 
Uteuzi tayari uko.. chagua waziri mmoja ujitolee kuandika habari zake za kumsifia sana.. pengine utatoka mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…