The Economist watoa utabiri wa michoro matukio yatakayotokea mwaka 2019

kuongezea hapo kwenye smartphone QR is going to take over from payment to identification system
 
Very impressive

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Very impressive

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dahhh.. Nicola tesla bado yuko hai ... wee jamaa umeshindikana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kwa kuongezea
-Tanzania imegusiwa hapo.kwenye huo mchoro
-Kuna majanga yataikumba Dunia
mostly yatatokana na shetani then vifo kwa viongozi wa ulaya vitakuwa vingi sanaa.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mchoro una mengi kwa mwaka 2019, ila hapa chini ni baadhi tu;
1: Brexit - Uiengereza itakumbwa na mshtuko ambao haiukuutarajia na watajikuta wako peke yao.
2: Putin na Trump watakua na malumbano
3: Madawa ya kulevya yatakuwa janga kubwa sana duniani na wenye nguvu watakumbatia dhambi hiyo
4: Kutakuwa na matatizo kwenye sekta ya nishati hasa mafuta
5: Teknolojia ya mawasiliano itachukua sura mpya
6: kutakuwa na utoroshaji wa fedha
7: Michezo itahodhiwa na wenye nguvu
8: Mabadiliko ya tabia nchi
9: Uchaguzi wa Afrika ya Kusini na Nigeria utashika sana headlines
10: India itaibuka kiuchumi
 
Hapo juu kwenye satellite pameandikwa New horizons of Ultima Thule - tafuta Wikipedia utapata maana yake zaidi
 
Ahsante kwa uchambuzi wako.
 
Boss mim nimchoraji. Kma aina hii yakufikri ungekua mchoraji ungepiga hela sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…