The Economist watoa utabiri wa michoro matukio yatakayotokea mwaka 2019

The Economist watoa utabiri wa michoro matukio yatakayotokea mwaka 2019

Picha ya tenis hapo nahisi inaonesha kuwa kutakuwa na uvunjaji na uwekaji mpya katika medani ya michezo hasa tenis pengine huenda kukawekwa record mpya ya mtu mashuhuri katika michezo au kuvunja record nyingine mpya...tusubiri tuone..
Huo ni mpira wa baseball na siyo tennis
 
Nimeelewa kwamba tunaelekea kwenye dunia ya wala ganja na matumizi makubwa ya vifaa vya kielekroniki kuwahi kutokea duniani

Ganja itaruhusiwa maeneo mengi ya dunia

Hayo ni maoni hasi sitaki maswali
 
Umemuona mtu mweusi hata mmoja katika hiyo michoro, au ni wanyama wa mwituni tu?
nazani kawa kilishwa na hilo sanduku la kura na Mt. kuhusu wanyama pia ina wezekana kuwa ni kiwakilishi kwa MTU mweusi hasa kupitia utalii uchumi utapata kukua... kama yalivyo maono ya Mh. Rais ktk utalii na huo Mt.
 
Hivi karibuni jarida la The Economist wametoa utabiri wao kwa michoro wa matukio yatayojitokeza 2019 . Michoro hiyo ipo "cover" ya mbele. Kama picha inavyoonesha hapo chini,
View attachment 979613
Résultats Google Recherche d'images correspondant à https://cdn.shopify.com/s/files/1/0535/3509/products/TW2019_COVER_US_no-b-c_no_spine_cmyk_1.jpg?v=1543246557
View attachment 979613
Wajuzi mnakaribishwa tuweze kuichambua na kupata maana iliyokusudiwa hiyo michoro.
Teknolojia ya matumizi ya umeme kwenye magari badala ya mafuta itakua, Space technology ( Safari ya kwenda mwezini), Utoroshwaji wa fedha (Ndege), Teknolojia ya mawasiliano na habari kuzidi kukua, Mtikisiko kwenye jumuia ya Ulaya ( British beyond Brexit), Uchumi wa mataifa ya Asia kuzidi kukua (Tembo), Mgogoro kati ya marekani na Urusi, Imbalance na Inequity (Mizani). Nimemuona pia mnyama Kakakuona (Pangolin) inaweza ikawa bahati njema au mkosi kwa mataifa ya Afrika tukasuasua katika ukuaji wa uchumi na mche wa bangi utahararishwa kwa matumizi katika baadhi ya mataifa hasa Amerika ya kasikazini. Naishia hapo.
 
Ukuaji wa teknolojia
U.K. Kua imara
Haki haitatendeka Afrika
Trump atakua na nguvu kuliko Putin
 
Teknolojia ya matumizi ya umeme kwenye magari badala ya mafuta itakua, Space technology ( Safari ya kwenda mwezini), Utoroshwaji wa fedha (Ndege), Teknolojia ya mawasiliano na habari kuzidi kukua, Mtikisiko kwenye jumuia ya Ulaya ( British beyond Brexit), Uchumi wa mataifa ya Asia kuzidi kukua (Tembo), Mgogoro kati ya marekani na Urusi, Imbalance na Inequity (Mizani). Nimemuona pia mnyama Kakakuona (Pangolin) inaweza ikawa bahati njema au mkosi kwa mataifa ya Afrika tukasuasua katika ukuaji wa uchumi na mche wa bangi utahararishwa kwa matumizi katika baadhi ya mataifa hasa Amerika ya kasikazini. Naishia hapo.
Na vipi kuhusu #me too iliyopo kifuani kwa huyo mtu
 
Na vipi kuhusu #me too iliyopo kifuani kwa huyo mtu
Spice Girls, Kuhusu hiyo "hash tag" ya Me too naiangalia katika mitizamo miwili:-
1. #Me too movement iliyopata umaarufu kuanzia mwaka 2017 ikiwa ni harakati za kupinga unyanyasaji wa kijinsia hasa mahali pa kazi itapata nguvu kubwa tena mwaka huu 2019.
2. Kutokana na Lyrics ya Meghan Trainor (Me Too Lyrics) "If I was you, I'd wanna be me too) mwaka huu ( 2019) kutakuwa na Michezo ya Olympic maalumu kwa watu wenye ulemavu wa akili (intellectual disabilities) itakayoanza March 14 - 21 itakayofanyika Zayed Sports City Stadium, Abu Dhabi- UAE (Walemavu wa akili nao pia wanastahili na wana haki ya kushiriki michezo)
 
Spice Girls, Kuhusu hiyo "hash tag" ya Me too naiangalia katika mitizamo miwili:-
1. #Me too movement iliyopata umaarafu kuanzia mwaka 2017 ikiwa ni harakati za kupinga unyanyasaji wa kijinsia hasa mahali pa kazi itapata nguvu kubwa tena mwaka huu 2019.
2. Kutokana na Lyrics ya Meghan Trainor (Me Too Lyrics) "If I was you, I'd wanna be me too)Mwaka 2019 kutakuwa na Michezo ya Olympic maalumu kwa watu wenye ulemavu wa akili (intellectual disabilities) itakayoanza March 14 - 21 itakayofanyika Zayed Sports City Stadium, Abu Dhabi- UAE (Walemavu wa akili nao pia wanastahili na wana haki ya kushiriki michezo)
Mkuu, vipi kuhusu huyu ndege aliebeba kifurushi cha barcode ana maana ipi.
 
Back
Top Bottom