The Economist watoa utabiri wa michoro matukio yatakayotokea mwaka 2019

Ukuaji wa teknolojia
U.K. Kua imara
Haki haitatendeka Afrika
Trump atakua na nguvu kuliko Putin
Tesla kampuni ya kutengeneza magari ya umeme tayari imeshaanza kupokea order toka kwa watu na mashirika yoyote ambayo yatahitaji gari hizo...

Naona bosi wa Simba (MO) kashapata order yake kule..[emoji4] [emoji4]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Elon Musk ataibadilisha dunia na mfumo wa maisha Kama alivyofanya Steve Jobs
Ana fulfil kilichopangwa kutokea...hata kama asingekuwepo kuna mtu angeandaliwa kufulfil hiyo mission mkuu sio wazo lake ..kuna watu wanaratibu hayo mambo nyuma ya pazia...

His brain has nothing to think beyond only the rest behind him.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mmh dadavua KIONGOZ ki vip?
na ni watu gani hao?

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Kuna uzi uliezea kwamba ukuaji wa teknolojia wa nchi yoyote ni kutokana na kasi ya kuzijua code na kuzitafsiri.
Kwa maana hiyo mkuu izo code Elon anazitafsiri au kuna walionyuma ya pazia wanafanya ivyo alaf wanampa yeye aziwakilishe??!
 
mmh dadavua KIONGOZ ki vip?
na ni watu gani hao?

Sent using Jamii Forums mobile app
Elon musk has ana average IQ lakini mambo anayoratibu ni makubwa sana...kawekwa tu kama jina ila kuna watu wapo behind him ndo wanaratibu sequence nzima ya stages za civilization ambazo mwanadamu anatakiwa apite..

Ikiwemo ni pamoja na capital funding n akila kitu....
space issues zinatafuna pesa ndefu snaa kuwaweka watu kwenye space kisha kumonitor maisha yao katika average life expectance ni kazi kubwa sana si ya kitoto kitoto..

Remember every step into your civilization imeandaliwa...hutakuja kupanda spaceship bila kutumia gari za umeme kwanza...

Hutokuja kutumia Ionizing energy ambayo ipo kwenye atmosphere kama source of energy bila kutumia mafuta na gesi...

All these stages are sequencially arranged na unapaswa uyapitie bila kuruka...

People are put there to fulfil civilization stages ziweze kutimilika ili watu waascend into other steps nyingine...

Kuna watu wanacontrol civilization ya kila maisha unayoyaona...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna uzi uliezea kwamba ukuaji wa teknolojia wa nchi yoyote ni kutokana na kasi ya kuzijua code na kuzitafsiri.
Kwa maana hiyo mkuu izo code Elon anazitafsiri au kuna walionyuma ya pazia wanafanya ivyo alaf wanampa yeye aziwakilishe??!
kwani Biligate anatengeneza program ?? au kawekwa kuwa CEO wa kampuni...??
kuna watu wanawekwa kuwa mamanager ila operating system(OS) ni model nyingine kabisa..

Elon has nothing in his mind about civilization...he does fulfulling anachopewa ...

Hayo anayoyazungumza huwa kapwwa aseme jambo ila watu wanajua ni idea zake...hakuna kitu...

Same applies kwa Billgate kuna watu wanainvert vitu halafu yeye kawekwa pale kama CEO na anakuw akapewa heshima yote kuwa ndo kila kitu pale but Behind him kuna watu wanasoma code za what follows afte r here...

kwani hajawahi hata sikia msanii mkubwa bongo anamilika station ya redio au tv but kiuhalisia sio yake..unaelewa tunaposema CEO ??

hicho ni cheo ambacho wew kama wew unawekwa chambo ili watu nyuma ya pazia waendeleze mishe bila wasi wasi and their intention is to keep you popular kwenye jamiii kuwa una uwezo na inversions nyingi but reality haiko hivo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
daah.kiongozi watu wa aina hiyo ni kina nani?
na wana malengo gani mpaka kufanya hivyo?!
je,ni binadamu wa kawaida au?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
MLIMA NI TAARIFA ZA NCHI YENYE MLIMA KILIMANJARO ZITAKWENDA KUWA GUMZO LA DUNIANI NA MAFANIKIO YAKE KIUCHUMI
 
Mlima unafanana na mlima wetu vile.
NI Mlima wetu wenyewe ni Taifa linalokwenda kupaa Kiuchumi duniani na kuwa kati ya wababe hao Wakubwa duniani kama USA picha ta Donald Trump, Russia Picha ya Putin, China picha ya Mnyama Panda,
 
Huenda huo Mlima kilimanjaro ukawa chanzo cha mgogoro baina ya nchi mbili ulio pakana nazo.
Pia na hapo juu kwenye picha ya mchoro wa kichwa cha mtu pameandikwa facial recognition.. Hii ina maana facial recognition itakumbana na mabadiliko makubwa ya kiteknolojia na ndo itakua njia ya kiusalama(security pass) katika sehemu nyingi...
 
Huo mlima kwa nilivoelewa ni kwamba kaskazini itajitenga na Tanzania na kua nchi huru
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…