The Economist watoa utabiri wa michoro matukio yatakayotokea mwaka 2019

Naona Mizani ya kupimana uzito imeanza kufanya kazi...


Mwenye nguvu anapewa nafasi ya kutoa comand yoyote juu ya mataifa madogo....

Mwenye nafasi ya kufanya maamuzi ni mwenye uchumi mkubwa....



The economist hawakufanya makosa kutoa mchoro wao...

Huko Venezuera ni mwendo wa kumwendesha tu kupitia mataifa makubwa mawili...

Maduro yupo chambo ,any time kinawaka....

Tutaona mengi sana mwaka huu...

Sent using Nokia 8 Plus
 
Panda aliye kasirika; kukiukwa mikataba ya kutunza mazingira _ kuongezeka kwa joto
 
Britain itabaki kuwa bull japo nje ya EU.
 
Tembo: biashara haram zitakua
 
Ghandi: ushindani wa India kwenye technology utadumaa
 
Mkono wa kulia una dna na mmea; gmo/cloning itakuwa gumzo
 
Satellite war kuwa kitu cha kawaida
 
una habari mwaka huu uliingia jumanne? Na kwa mujibu wa mtoto wa sheikh yahya mwaka huu watakufa sana watu maarufu.
 
Mkuu, nilielezea hiyo image ya ndege (bird) aliyebeba kifurushi chenye barcode kama "Utoroshwaji wa fedha usio halali kutoka taifa moja hadi jingine."
Utaifishaji fedha kwa njia ya mabavu utatawala sana mwaka huu...

Ndo haya haya tunayoyaon hata huku yameanza...Bureau de change zinaporomoka kiuchumi..

Sent using Nokia 8 Plus
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…