The effective informative channel in Tanzania ni JF ambapo mtu anaandika bila unafiki

Retired

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2016
Posts
44,629
Reaction score
83,056
JF ni ukumbi ambao mtu anaandika dhamira halisi ya moyo wake bila unafiki. Tuitumie JF kuwaambia watawala yanayotukera.

Tuandike sana wasome, wajue yanayokera, wananchi tunahitaji nini etc etc.
 
JF ni ukumbi ambao mtu anaandika dhamira halisi ya moyo wake bila unafiki. Tuitumie JF kuwaambia watawala yanayotukera.
Tuandike sana wasome, wajue yanayokera, wananchi tunahitaji nini etc etc.
Naunga hoja mkono
 
Unaijua Ban mkuu?
Ukiandika bila unafiki, kuna uzi kufutwa pia.
 
Hapa JF uzi zinazofutwa ni 54%, na 46% ndiyo zinaachwa.

hakuna uhuru wa kuandika kama inavyo hubiriwa.
Sometimes inafanyika hivyo ili kutulinda sote pamoja na jukwaa letu pendwa... Hili linaweza kuwa gumu mpaka uwe umefuatwa PM ama nje ya JF na wasiojulikana na kupewa onyo la [emoji615] warning na vitisho
Kuna baadhi walishalazimika kuomba Moderator afute post zao ama walishalazimika kuzihariri ama kufuta reply
 
Hakuna uhuru usio na mipaka be careful watch it
 
Where we dare to talk openly...
Hii mada hii.. Nilitishiwa...
 
Uliandika ishu nyeti sana ambayo kwa system yetu hapa wanadai taarifa kama hizo zinatakiwa kutolewa na mamlaka husika wakati mamlaka zenyewe ni either zinahusika au wanaficha maovu hawataki kuripoti hizo cases kuogopa kuchafua kantri yetu since tunajulikana ulimwenguni kuwa ni nchi ya amani na usalama😂

Nimekumbuka ule msemo wa Idi Amin 'There is freedom of speech but i can not guarantee freedom after speech'
Nadhani ndio maana wadau walikutisha kama kukuonya kwenye huo uzi
 
There is freedom of speech but i can not guarantee freedom after speech'[emoji2827][emoji2827][emoji2827][emoji2827]
 
Cjui umeeendika nini ww wakati nyuzi nyingi zinafutwa humu ila zile za kimayai ndo zinztakiwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…