Asante sana kwa ushauri. Najua kuwa wanapita huku pia. Na endapo wataona ni wazo jema, hawatafanya nilivyoandika hapa. Watabuni njia muafaka ya kutekeleza. Na njia za kuwashughulikia wavujisha siri pia.Ungewafuata huko kwenye vikao vyao siyo hapa JF. Sasa hapa siri si umeiweka wazi? Pia jua kuwa ndani ya Chadema wapo watu wazuri tu ambao watatoa siri zote kama unavyotoa wewe hapa!
Tuliza kishundu hicho wanaume wanapojadili mambo ya kiume.Ungewafuata huko kwenye vikao vyao siyo hapa JF. Sasa hapa siri si umeiweka wazi? Pia jua kuwa ndani ya Chadema wapo watu wazuri tu ambao watatoa siri zote kama unavyotoa wewe hapa!
Chama Cha Mazezeta kinaongozwa na Mashetani wanaofanya ibada za mwenge kwa kutumia mabilioni ya pesa za WANYONGE.Hasa Saccos ya Chadema
Hi laana ya mwenge kijimungu chenu imeandikwa Hadi kwenye maandiko matakatifu.Laana kwa Saccos ya Chadema ndiyo maana hata kuzaja fomu tu za kuomba uongozi yameshindwa sasa mkipewa nchi mtaendeshaje hiyo nchi?
Kama walivyo baadhi ya watu wema ndani ya CCM wanaowapa wapinzani mipango ovu inayo endeleaUngewafuata huko kwenye vikao vyao siyo hapa JF. Sasa hapa siri si umeiweka wazi? Pia jua kuwa ndani ya Chadema wapo watu wazuri tu ambao watatoa siri zote kama unavyotoa wewe hapa!
Ni mtoto wa nje ya ndoa ambaye alizaliwa na Tanu na Asp... kama vilikufa basi yenyewe ni yatima mwenye kiburiHivi CCM kina wazazi wote wawili,au kinalelewa na mzazi mmoja,au ni yatima kabisa
Mpaka sisi wananchi tuone haja hiyo. Maslahi ya kikundi kidogo hayawezi kutubabaisha. Kwani CHADEMA wana kipi cha maana kwetu wananchi ili tuwaunge mkono?Wengi wetu tunasoma jinsi USA walivyoisambaratisha USSR. Tunasoma jinsi mashirika nguli ya kijasusi kama CIA, MOSAD nk yanavyoendesha harakati za kuhujumu na kuwaondoa duniani maadui wa mataifa yao.
Bahati mbaya upinzani Tanzania (CHADEMA) wanadhani kuwa CCM ni chama kama wao walivyo. Wameshindwa kabisa kutambua kuwa CCM ni mfumo wa kidikteta uliohasisiwa na Nyerere kwa malengo ya kuwatawala watanzania, mtake msitake.
Wakati sasa umefika upinzani kujigeuza kuwa vikundi vya kijasusi na kijeshi vyenye lengo moja tu, la kuwakomboa watanzania dhidi ya mfumo ulioshindwa kuleta tija wa CCM.
Siamini na sitakaa niamini kuwa mifumo kama CCM huondoka kwa amani. Mifumo hii kung'oka labda impate mtu mwenye nia dhabiti kama Abiy Ahmed wa Ethiopia, aliyefanikiwa kuupunguza nguvu mfumo uliokuwepo wa kidikteta, japo hajamaliza.
CHADEMA 2020 mnalazimika kutumia ujasusi na mbinu za kivita zaidi. Ni ushauri tu, kama mnaona unafaa, na kwa nia njema kabisa, anzeni na kikundi kidogo cha intelligence. Siyo lazima kionekane kwenye katiba.
Na lengo la kikundi hiki liwe moja tu. Kuiondoa madarakani CCM na kuung'oa mfumo rushwa ulioshindwa wa CCM ndani ya miaka 10.
Kajifunzeni kusoma na kuandika kwanza ndipo mrudi kuomba uongozi.Wengi wetu tunasoma jinsi USA walivyoisambaratisha USSR. Tunasoma jinsi mashirika nguli ya kijasusi kama CIA, MOSAD nk yanavyoendesha harakati za kuhujumu na kuwaondoa duniani maadui wa mataifa yao.
Bahati mbaya upinzani Tanzania (CHADEMA) wanadhani kuwa CCM ni chama kama wao walivyo. Wameshindwa kabisa kutambua kuwa CCM ni mfumo wa kidikteta uliohasisiwa na Nyerere kwa malengo ya kuwatawala watanzania, mtake msitake.
Wakati sasa umefika upinzani kujigeuza kuwa vikundi vya kijasusi na kijeshi vyenye lengo moja tu, la kuwakomboa watanzania dhidi ya mfumo ulioshindwa kuleta tija wa CCM.
Siamini na sitakaa niamini kuwa mifumo kama CCM huondoka kwa amani. Mifumo hii kung'oka labda impate mtu mwenye nia dhabiti kama Abiy Ahmed wa Ethiopia, aliyefanikiwa kuupunguza nguvu mfumo uliokuwepo wa kidikteta, japo hajamaliza.
CHADEMA 2020 mnalazimika kutumia ujasusi na mbinu za kivita zaidi. Ni ushauri tu, kama mnaona unafaa, na kwa nia njema kabisa, anzeni na kikundi kidogo cha intelligence. Siyo lazima kionekane kwenye katiba.
Na lengo la kikundi hiki liwe moja tu. Kuiondoa madarakani CCM na kuung'oa mfumo rushwa ulioshindwa wa CCM ndani ya miaka 10.
Wengi wetu tunasoma jinsi USA walivyoisambaratisha USSR. Tunasoma jinsi mashirika nguli ya kijasusi kama CIA, MOSAD nk yanavyoendesha harakati za kuhujumu na kuwaondoa duniani maadui wa mataifa yao.
Bahati mbaya upinzani Tanzania (CHADEMA) wanadhani kuwa CCM ni chama kama wao walivyo. Wameshindwa kabisa kutambua kuwa CCM ni mfumo wa kidikteta uliohasisiwa na Nyerere kwa malengo ya kuwatawala watanzania, mtake msitake.
Wakati sasa umefika upinzani kujigeuza kuwa vikundi vya kijasusi na kijeshi vyenye lengo moja tu, la kuwakomboa watanzania dhidi ya mfumo ulioshindwa kuleta tija wa CCM.
Siamini na sitakaa niamini kuwa mifumo kama CCM huondoka kwa amani. Mifumo hii kung'oka labda impate mtu mwenye nia dhabiti kama Abiy Ahmed wa Ethiopia, aliyefanikiwa kuupunguza nguvu mfumo uliokuwepo wa kidikteta, japo hajamaliza.
CHADEMA 2020 mnalazimika kutumia ujasusi na mbinu za kivita zaidi. Ni ushauri tu, kama mnaona unafaa, na kwa nia njema kabisa, anzeni na kikundi kidogo cha intelligence. Siyo lazima kionekane kwenye katiba.
Na lengo la kikundi hiki liwe moja tu. Kuiondoa madarakani CCM na kuung'oa mfumo rushwa ulioshindwa wa CCM ndani ya miaka 10.
Una uhuru wa kuchangia. Mods nao ni binadamu kama wewe.kama sikuhofia ban humu jamvini ningechangia kitu lakini ππ