- Thread starter
- #21
Ni nani kakuambia kuwa mambo mazito kama haya yanafanywa kwenye simu? Ni punguani kiwango cha CCM ndiye anaweza kupanga mambo yake ya maana kwenye simu.Hawawezi hapo tunafuatilia mawasiliano yao yoote.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni nani kakuambia kuwa mambo mazito kama haya yanafanywa kwenye simu? Ni punguani kiwango cha CCM ndiye anaweza kupanga mambo yake ya maana kwenye simu.Hawawezi hapo tunafuatilia mawasiliano yao yoote.
Tuma PM kwangu nikimwage hapa jamvini mimi siogopi Bankama sikuhofia ban humu jamvini ningechangia kitu lakini [emoji19][emoji19]
That is stupid! Kwa nini unaamini kazi ya kuiondoa CCM ni ya CHADEMA? Au ni yale yale ya ubaguzi hadi ktk siasa? Wewe ukisikia upinzani usipoona CHADEMA unadhani hakuna vyama vingine?Wengi wetu tunasoma jinsi USA walivyoisambaratisha USSR. Tunasoma jinsi mashirika nguli ya kijasusi kama CIA, MOSAD nk yanavyoendesha harakati za kuhujumu na kuwaondoa duniani maadui wa mataifa yao.
Bahati mbaya upinzani Tanzania (CHADEMA) wanadhani kuwa CCM ni chama kama wao walivyo. Wameshindwa kabisa kutambua kuwa CCM ni mfumo wa kidikteta uliohasisiwa na Nyerere kwa malengo ya kuwatawala watanzania, mtake msitake.
Wakati sasa umefika upinzani kujigeuza kuwa vikundi vya kijasusi na kijeshi vyenye lengo moja tu, la kuwakomboa watanzania dhidi ya mfumo ulioshindwa kuleta tija wa CCM.
Siamini na sitakaa niamini kuwa mifumo kama CCM huondoka kwa amani. Mifumo hii kung'oka labda impate mtu mwenye nia dhabiti kama Abiy Ahmed wa Ethiopia, aliyefanikiwa kuupunguza nguvu mfumo uliokuwepo wa kidikteta, japo hajamaliza.
CHADEMA 2020 mnalazimika kutumia ujasusi na mbinu za kivita zaidi. Ni ushauri tu, kama mnaona unafaa, na kwa nia njema kabisa, anzeni na kikundi kidogo cha intelligence. Siyo lazima kionekane kwenye katiba.
Na lengo la kikundi hiki liwe moja tu. Kuiondoa madarakani CCM na kuung'oa mfumo rushwa ulioshindwa wa CCM ndani ya miaka 10.
Peleka takataka zako kwa mataga wenzako. Kama inakukera kusikia CHADEMA kaa pembeni.That is stupid! Kwa nini unaamini kazi ya kuiondoa CCM ni ya CHADEMA? Au ni yale yale ya ubaguzi hadi ktk siasa? Wewe ukisikia upinzani usipoona CHADEMA unadhani hakuna vyama vingine?
Chadema haina uwezo wa kijasusi kwa sababu viongozi wake wa juu wapo hapo kwa ajili ya kuvuna pesa na bahati mbaya sana wafuasi wao wengi hawawezi kufikiri kwa busara ila wanamapepe ile mbaya kama wanyama wa Serengetj!!
OK! NOw you are exposing yourself. This is JF fella! Be hard! Support kwa CAHDEMA iko mitaa ileee. Nenda kapige peoples! Hapa kuna CUF na ACT na TLP na CCM pia!Peleka takataka zako kwa mataga wenzako. Kama inakukera kusikia CHADEMA kaa pembeni.
Wengi wetu tunasoma jinsi USA walivyoisambaratisha USSR. Tunasoma jinsi mashirika nguli ya kijasusi kama CIA, MOSAD nk yanavyoendesha harakati za kuhujumu na kuwaondoa duniani maadui wa mataifa yao.
Bahati mbaya upinzani Tanzania (CHADEMA) wanadhani kuwa CCM ni chama kama wao walivyo. Wameshindwa kabisa kutambua kuwa CCM ni mfumo wa kidikteta uliohasisiwa na Nyerere kwa malengo ya kuwatawala watanzania, mtake msitake.
Wakati sasa umefika upinzani kujigeuza kuwa vikundi vya kijasusi na kijeshi vyenye lengo moja tu, la kuwakomboa watanzania dhidi ya mfumo ulioshindwa kuleta tija wa CCM.
Siamini na sitakaa niamini kuwa mifumo kama CCM huondoka kwa amani. Mifumo hii kung'oka labda impate mtu mwenye nia dhabiti kama Abiy Ahmed wa Ethiopia, aliyefanikiwa kuupunguza nguvu mfumo uliokuwepo wa kidikteta, japo hajamaliza.
CHADEMA 2020 mnalazimika kutumia ujasusi na mbinu za kivita zaidi. Ni ushauri tu, kama mnaona unafaa, na kwa nia njema kabisa, anzeni na kikundi kidogo cha intelligence. Siyo lazima kionekane kwenye katiba.
Na lengo la kikundi hiki liwe moja tu. Kuiondoa madarakani CCM na kuung'oa mfumo rushwa ulioshindwa wa CCM ndani ya miaka 10.
Kwa hio miaka yote waliweza kujaza fomu, ila mwaka huu tu wameshindwa?!Laana kwa Saccos ya Chadema ndiyo maana hata kuzaja fomu tu za kuomba uongozi yameshindwa sasa mkipewa nchi mtaendeshaje hiyo nchi?
Kijana bado saana wewe, sasa unafikiri utatumia maarifa gani kuikwepa dola na vyombo vyakeNi nani kakuambia kuwa mambo mazito kama haya yanafanywa kwenye simu? Ni punguani kiwango cha CCM ndiye anaweza kupanga mambo yake ya maana kwenye simu.