Uchaguzi 2020 The end justifies the means. CHADEMA itumie mbinu za kijasusi kuuondoa mfumo CCM madarakani

That is stupid! Kwa nini unaamini kazi ya kuiondoa CCM ni ya CHADEMA? Au ni yale yale ya ubaguzi hadi ktk siasa? Wewe ukisikia upinzani usipoona CHADEMA unadhani hakuna vyama vingine?
 
That is stupid! Kwa nini unaamini kazi ya kuiondoa CCM ni ya CHADEMA? Au ni yale yale ya ubaguzi hadi ktk siasa? Wewe ukisikia upinzani usipoona CHADEMA unadhani hakuna vyama vingine?
Peleka takataka zako kwa mataga wenzako. Kama inakukera kusikia CHADEMA kaa pembeni.
 
Unapotumia id ya kiongozi,ni vyema ukajitahidi kutoichafua hiyo id unayoitumia.
Chadema haina uwezo wa kijasusi kwa sababu viongozi wake wa juu wapo hapo kwa ajili ya kuvuna pesa na bahati mbaya sana wafuasi wao wengi hawawezi kufikiri kwa busara ila wanamapepe ile mbaya kama wanyama wa Serengetj!!
 
Peleka takataka zako kwa mataga wenzako. Kama inakukera kusikia CHADEMA kaa pembeni.
OK! NOw you are exposing yourself. This is JF fella! Be hard! Support kwa CAHDEMA iko mitaa ileee. Nenda kapige peoples! Hapa kuna CUF na ACT na TLP na CCM pia!
 

Mkuu

CCM stupids have nothing smart to think of!

Hawa jamaa think opposition have no brains to think them out!

They are making a big mistake!

Opposition is playing chess here!

Wait and see!
 
Laana kwa Saccos ya Chadema ndiyo maana hata kuzaja fomu tu za kuomba uongozi yameshindwa sasa mkipewa nchi mtaendeshaje hiyo nchi?
Kwa hio miaka yote waliweza kujaza fomu, ila mwaka huu tu wameshindwa?!
 
Ni nani kakuambia kuwa mambo mazito kama haya yanafanywa kwenye simu? Ni punguani kiwango cha CCM ndiye anaweza kupanga mambo yake ya maana kwenye simu.
Kijana bado saana wewe, sasa unafikiri utatumia maarifa gani kuikwepa dola na vyombo vyake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…