stakehigh
JF-Expert Member
- Aug 9, 2019
- 40,702
- 41,213
Kwan hio kauli nmesema mm?Unauwa watu elfu 23 plus,unawafukia kama kuku waliokufa na kideli,bado unaua,unateka,unafira,unabaka ,unalawiti na unauwa,bado tena unanyima haki ya watu kuzika miili ya wapendwa wao kwa heshima,wewe kwanini usiingiliwe mambo yako??,kwa hiyo unataka uwachwe unauwe raia wazalendo??
Basi kaa kimyaKwan hio kauli nmesema mm?
Unateka ,unafira,unabaka,unalawiti na bado unauwa,bado haitoshi unachukua miili ya mtu aliyekufa unaiweka kwenye Kiroba unaenda kumtupa baharini,hauridhiki unamtupia kwenye pipa lenye tindi kali na unamtupia baharini,hauridhiki unamtupia kwenye mto uliojaa mamba duuh ,Mungu anaonaas we dont interfere with them
tatizo unakurupuka badala ya kuelewa uzi, aliesema hio statement ni elon musk wewe unakuja na ngonjera zingineUnauwa watu elfu 23 plus,unawafukia kama kuku waliokufa na kideli,bado unaua,unateka,unafira,unabaka ,unalawiti na unauwa,bado tena unanyima haki ya watu kuzika miili ya wapendwa wao kwa heshima,wewe kwanini usiingiliwe mambo yako??,kwa hiyo unataka uwachwe unauwe raia wazalendo??
Basi kaa kimya
Kwani nilichosema ni uongo??tatizo unakurupuka badala ya kuelewa uzi, aliesema hio statement ni elon musk wewe unakuja na ngonjera zingine
Vurugu ni ukweli unauwa watu elfu 23 plus,unadhani utakuwa salama??jifunze kusoma kuelewa sio kusoma kuleta vurugu