The EU should be abolished and sovereignty returned to individual countries, so that governments can better represent their people

Unauwa watu elfu 23 plus,unawafukia kama kuku waliokufa na kideli,bado unaua,unateka,unafira,unabaka ,unalawiti na unauwa,bado tena unanyima haki ya watu kuzika miili ya wapendwa wao kwa heshima,wewe kwanini usiingiliwe mambo yako??,kwa hiyo unataka uwachwe unauwe raia wazalendo??
 
So as to barbarically control the government?
 
Kwan hio kauli nmesema mm?
 
Unauwa watu elfu 23 plus,unawafukia kama kuku waliokufa na kideli,bado unaua,unateka,unafira,unabaka ,unalawiti na unauwa,bado tena unanyima haki ya watu kuzika miili ya wapendwa wao kwa heshima,wewe kwanini usiingiliwe mambo yako??,kwa hiyo unataka uwachwe unauwe raia wazalendo??
Kwan hio kauli nmesema mm?
Basi kaa kimya
 
as we dont interfere with them
Unateka ,unafira,unabaka,unalawiti na bado unauwa,bado haitoshi unachukua miili ya mtu aliyekufa unaiweka kwenye Kiroba unaenda kumtupa baharini,hauridhiki unamtupia kwenye pipa lenye tindi kali na unamtupia baharini,hauridhiki unamtupia kwenye mto uliojaa mamba duuh ,Mungu anaona
 
tatizo unakurupuka badala ya kuelewa uzi, aliesema hio statement ni elon musk wewe unakuja na ngonjera zingine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…