Supported by:
Assasination of African leaders
Forced labour
Confiscation of African properties
African involved in militarism
African involved in education
Eti kwa nini mkuu! Ni nini hichi umeandika mdogo wangu? Uko chuo kikuu au ni sekondari? Lugha ni lugha tu na siyo kipimo cha intelligence ya mtu lakini sera yetu ya lugha ya kufundishia ni mbovu na vijana wetu hatuwapi uhuru wa kuwa critical thinkers kwa sababu lugha tunayowafundishia hawaimudu sawasawa. Nikiwa kama mwalimu jambo hili huwa linaniuma sana [emoji24]