Zungu la rohoKumbe mkwepu nilijua mimi huyu jamaa ye analike bila comment[emoji23]
Duh!Ila mi mbona tangu nimejiunga ndo repeated members naowaonaHapo Kuna nusu ya members sijawahi hata kuwasoma na Nina miaka 11 kwa id nyingine na miaka 7 kwa Id hii. Labda useme members wanaotrend kwa kwa kipindi ulipojiunga.
Hapo wapo famous na trendingDuh!Ila mi mbona tangu nimejiunga ndo repeated members naowaona
Hapo safi.. we ndo unatakiwa uwaongoze wenzio na uonyeshe upole na ujali pamoja na hekima nafikiri utakuwa umeelewa Mrs kibee.. 😜
yawezekana hajawahi ona ule uzi wenye comment lukuki wa kula tuna kimasihara haaaaa haaaa, pia yele wa uzi wa usiku wa mananeeeeYaan sijamuona yule wa Uzi pendwa wa Kula Tunda kimasihara naona unatania tu
Umepotea ndugu!Yaan sijamuona yule wa Uzi pendwa wa Kula Tunda kimasihara naona unatania tu
[emoji23][emoji23]hata mimi billionea wa mkaku sipo?
Karibu sana[emoji23][emoji23]
Heshima zako mkuu,Kumbe eeh.
[emoji23][emoji23]Mti mkavu
Bujibuji
Numbisa
Kweli.........?????? Hata Mimi[emoji724]
Heh!nini tenaMiss Renee uje na majibu yakueleweka hapaa[emoji62][emoji62][emoji62]
[emoji2][emoji2][emoji2]Heh!nini tena