The Famous Jamii Forums Users niliojiunga tu nikawajua

The Famous Jamii Forums Users niliojiunga tu nikawajua

Hapo Kuna nusu ya members sijawahi hata kuwasoma na Nina miaka 11 kwa id nyingine na miaka 7 kwa Id hii. Labda useme members wanaotrend kwa kwa kipindi ulipojiunga.
 
Hapo Kuna nusu ya members sijawahi hata kuwasoma na Nina miaka 11 kwa id nyingine na miaka 7 kwa Id hii. Labda useme members wanaotrend kwa kwa kipindi ulipojiunga.
Duh!Ila mi mbona tangu nimejiunga ndo repeated members naowaona
 
Hapo safi.. we ndo unatakiwa uwaongoze wenzio na uonyeshe upole na ujali pamoja na hekima nafikiri utakuwa umeelewa Mrs kibee.. 😜

Nacheka kama mazuri vilee aahahahahahaa

Ukubwa dawa ujue, na dawa lazima uifate pharmacy kama sio shambani/porini.

Kazi kwako.
 
Yaan sijamuona yule wa Uzi pendwa wa Kula Tunda kimasihara naona unatania tu
yawezekana hajawahi ona ule uzi wenye comment lukuki wa kula tuna kimasihara haaaaa haaaa, pia yele wa uzi wa usiku wa mananeeee
 
Mti mkavu
Bujibuji
Numbisa
Kweli.........?????? Hata Mimi🚫
 
Back
Top Bottom