KENZY
JF-Expert Member
- Dec 27, 2015
- 32,529
- 76,691
Usijute kunifahamu juta usingenijua ungepata wapi bwana muwazi kama mimi..??Kha ndo umetupanga hvyo kumbe! Najuta kukufahamu
Mi nataka mjuane na sio mpigane,kila mmoja ananafasi yake adimu na siwezi zisema msije nikata stimu!.. napenda umbo lako hunitia wazimu na ule utulivu huna ukali Kama wandimu.. sema nini nikupe wahuba ili ujue unayo nafasi isiyopingika..??
Wewe ni Kama tunda adimu japo si la msimu!.. ndege pori hukutafuta ili wakudonoe!.. kwa taarifa yako kwa kenzy umefika,wahuni acha wasome picha..😉