The Famous Jamii Forums Users niliojiunga tu nikawajua

The Famous Jamii Forums Users niliojiunga tu nikawajua

List yako ni batili mkuu,,,hata yule jamaa mtoto wake anapiga wageni mafagio ya kichwa pia hayupo?
Yule jamaa ambaye baba Mkwe anapiga Mswaki kwa makelele na kukohoa pia hayupo?
Uzi wako ni tetesi mkuu ,,,,sio rasmi..
 
Hivi Preta alienda wapi jameni?



Mzee Mwanakijiji?
 
Nashangaa kutajwa, wengine huwa hatutajwi hata iweje!
 
Back
Top Bottom