The Finest, Afrodenzi, Asprin, AshaDii, Mbu, MwanajamiiOne, Lizzy, Teamo

Akha! Soulmate jamani! Sa nawe wantupia kesi mie badala ya kuniprotect kiume?! Ahaaaa hebu hiyo pete yako kaa nayo kwanza ishike kutu! Amah

Mwaya mtoa mada naomba radhi kwa kuchakachua sred (usijenpunguzia marks bure). Nakupenda! Lol

Hiii mie nimesoma kwa jicho moja tu..
(haiingii akilini)... Tumsubiri Mbu aamke tuu...
 
Saas I am worried you know?? Plz leave PA alone nikijua
wee ni me or ke nitakua na amani.... Alafu hapo juu Jux... (MJ1 beware)
unaona the way she is HOT??

Saas THANKS for the acknowledgement....
Hahhhhh AshaDii wewe si mwanafunzi mzuri, tushaambiwa penzi halilindwi ahah.....Uache kutoroka vipindi vya mwalimu ODM na teacher Teamo!
 
Saas I am worried you know?? Plz leave PA alone nikijua
wee ni me or ke nitakua na amani.... Alafu hapo juu Jux... (MJ1 beware)
unaona the way she is HOT??

Saas THANKS for the acknowledgement....
Hahaha!! PA vituko wewe
 

mi hapo kwenye red umenigusa sana
sjajua hilo asantee sana..
"Like tu haitoshi " imebidi nkuongeezee "Reputation"

asante sana.. ubarikiwe na wewe pia..

P.S ukipata muda niambie hako ka kismati ndo ka nini
lakini hata kama nikibaya ntapokea tu hahahahah lol

 
Utafiti wangu unaonyesha hata wewe thread zako zinachangiwa na watu wengi sana, nimefanya utafiti kwa kuchukua Sample ya thread yako moja ambayo ni hii inayo endelea na nimegundua watu wanapenda sana thread zako kwani mpaka sasa hii thread wamechangia zaidi ya watu 70.
 
Kwa mara ya pili kwa mwaka huu nimekula ujiko

Najua fellow tablet klorokwini atashikwa na wivu

Asante Saas

FM Academiaaaa Banabazambeee!
 
Anzisha inayoongelea 071...uone kama haitachangiwa.
hao ni member wa huo mtandao.
 
Kwa mara ya pili kwa mwaka huu nimekula ujiko

Najua fellow tablet klorokwini atashikwa na wivu

Asante Saas

FM Academiaaaa Banabazambeee!
Klorokwin kashikwa anatorosha mtoto wa balozi wa nyumba kumi kumi kule Igunga yuko lupango anasubiria mdhamana kama Fellow Tablet mwenzake anahitaji msaada wako
 
Halafu hao members sio wachoyo wa kugonga "like" na "thanks". Hii inastimulate sana kuonyesha wameexclence mchango wako.
Hongereni bana!!
Kakague kule, nshakugongea ka LIKE.

Hatutaki masihara kwenye haka kafani bana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…