The flow of creative Energy, Aura and Emotions

Bob Manson

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2021
Posts
4,158
Reaction score
7,787
Greetings....

Does it feel that many people do not appear to be maturing on spiritually that they are in a state of disease and in a lower vibrational state?

Emotions and feelings can be impacted by our energy flow, the same as when aura is not strong and the vibration is at low state.

To comprehend the concept of energy flow, take a look at the photos below.







* Becoming Supernatural ~Joe Dispenza
 
Asubuhi asubuhi mshaanza tena!

Wengine hatunywi chai mtuhurumie mada ngum ngum kama hizi mpost mchana
 
Mkuu wewe tayari unaweza ku master aura?
Hakuna uwezekano wa ku master aura, aura hubadili vibrations kutokana na hali tofauti za kihisia ambazo mtu anapitia.

Aura ipo wakati wote na ina vibrate katika hali tofauti kutokana na energy au vibe/mood yako kwa wakati husika.

Mfano ukiwa na hasira au majuto, aura yako inakuwa dhaifu au hafifu kwa wakati huo.
 
Asante, aura inamahusiano na matumizi ya internal energy? Au Aura ndo internal energy yenyewe?

Nashindwa kutofautisha internal energy na spiritual ernegy
 
Asante, aura inamahusiano na matumizi ya internal energy? Au Aura ndo internal energy yenyewe?

Nashindwa kutofautisha internal energy na spiritual ernegy
Internal energy ndyo spirit yenyewe, spiritual energy hukaa ndani, yani internal.

Aura ni energy ya nje au kinga ambayo huzunguka mwili wa binadamu, hubadili vibrations zake kutokana na hisia za mtu kwa wakati husika.

Tazama hizo picha kwenye uzi utaona aura na vipengele vyake.
 
Hizo. Vibration na frequency naziongezaje kupitia maneno au Kuna njia nyengine
Unaweza kuimarisha vibration ya energy yako kwa kuzingatia au kufanya vise versa kwa haya yaliyo tajwa katika picha hii πŸ‘‡πŸ‘‡

 
Hizi energy zitasaidia kufungua ulimwengu mwingine au tu kuimarisha afya
Ulimwengu mwingine kwa maana ya dimensions au?

kama ni dimensions, basi kufungua ulimwengu mwingine hilo ni swala jingine lenye maana na pratice tofauti.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…