Bob Manson
JF-Expert Member
- May 16, 2021
- 4,158
- 7,787
- Thread starter
- #21
Hilo ni somo lingine mkuu, tena somo kubwa sana, mimi nafahamu namna ya kuwasiliana au kuunda ukaribu na viumbe kutoka dimensions nyingine, ila kuhama kwenda huko bado knowledge hiyo sina.Ndio dimension zengine
Mfano huu hapa 👇
Niliyoyaona baada ya kuita roho za giza kwa kutumia OUJIA board (don't try this at home)
Habari za wakati huu wana jukwaa Duniani hatupo peke yetu, vipo viumbe au roho ambazo kwa macho hatuwezi kuziona, zipo katika dimension nyingine, lakini ipo namna tunaweza kuwasiliana au kutengeneza ukaribu nao. Swala hili halina uhusiano wowote na imani yangu bali ni jambo ambalo niliona...