Bob Manson
JF-Expert Member
- May 16, 2021
- 4,158
- 7,787
- Thread starter
-
- #21
Hilo ni somo lingine mkuu, tena somo kubwa sana, mimi nafahamu namna ya kuwasiliana au kuunda ukaribu na viumbe kutoka dimensions nyingine, ila kuhama kwenda huko bado knowledge hiyo sina.Ndio dimension zengine
Sawa huu Uzi nilishawahi kusoma ndgHilo ni somo lingine mkuu, tena somo kubwa sana, mimi nafahamu namna ya kuwasiliana au kuunda ukaribu na viumbe kutoka dimensions nyingine, ila kuhama kwenda huko bado knowledge hiyo sina.
Mfano huu hapa 👇
Niliyoyaona baada ya kuita roho za giza kwa kutumia OUJIA board (don't try this at home)
Habari za wakati huu wana jukwaa Duniani hatupo peke yetu, vipo viumbe au roho ambazo kwa macho hatuwezi kuziona, zipo katika dimension nyingine, lakini ipo namna tunaweza kuwasiliana au kutengeneza ukaribu nao. Swala hili halina uhusiano wowote na imani yangu bali ni jambo ambalo niliona...www.jamiiforums.com
Ndyo hivyo mkuu, lakn kuhama dimensions ni somo kubwa sana mkuu, endelea kufanya tafiti kuhusu hilo.Sawa huu Uzi nilishawahi kusoma ndg
Sawa nnaendelea kujifunza naimani nitafanikiwa.Ndyo hivyo mkuu, lakn kuhama dimensions ni somo kubwa sana mkuu, endelea kufanya tafiti kuhusu hilo.
Pamoja sana mkuuSawa nnaendelea kujifunza naimani nitafanikiwa.
Mkuu kuhusu dimensions ni somo pana sana kama alivyosemaMkuu hiyo ya kuwa na dimensions nyingine si ndo itakuwa ku master aura huko?
Halafu ukishaweza kujua kuhama dimensions nyingine inaweza ikaongeza na longevity?
Asante sana mkuu. What you think is what you will beMkuu kuhusu dimensions ni somo pana sana kama alivyosema
Bob Manson.
Kwa kifupi dimensions ni realities mbalimbali au tofauti ambazo kila mmoja anaishi au anapitia.
Ukiweza na kufanikiwa ku control mawazo, fikra na jinsi unaavyoishi automatic utajikuta unaishi au ku shift katika dimension au reality fulani ambayo inaenda sambamba na energy au tuseme frequency na vibration ulizokuwa nazo.
Mfano watu kama Elon musk au Mark Zuckerberg dimension au reality za maisha yao ni kutokana na mawazo na fikra zao.
Halikadhalika ukiishi katika low vibe energy na kuwaza shida, mateso, malalamiko n.k definitely unaishi katika dimension au reality hiyo hiyo.
Cha muhimu sana ku control mawazo na fikra zako na kuhakikisha energy yako inakuwa juu.
Kabisa mkuu.Asante sana mkuu. What you think is what you will be
Mkuu dimensions sio sehemu ya fikra au mawazo, ni ulimwengu mwingine tofauti kabisa.Mkuu kuhusu dimensions ni somo pana sana kama alivyosema
Bob Manson.
Kwa kifupi dimensions ni realities mbalimbali au tofauti ambazo kila mmoja anaishi au anapitia.
Ukiweza na kufanikiwa ku control mawazo, fikra na jinsi unaavyoishi automatic utajikuta unaishi au ku shift katika dimension au reality fulani ambayo inaenda sambamba na energy au tuseme frequency na vibration ulizokuwa nazo.
Mfano watu kama Elon musk au Mark Zuckerberg dimension au reality za maisha yao ni kutokana na mawazo na fikra zao.
Halikadhalika ukiishi katika low vibe energy na kuwaza shida, mateso, malalamiko n.k definitely unaishi katika dimension au reality hiyo hiyo.
Cha muhimu sana ku control mawazo na fikra zako na kuhakikisha energy yako inakuwa juu.
Hapana mkuu, ku master aura hutokana na kuwa na hali nzuri kihisia, kiakili na kimwili.Mkuu hiyo ya kuwa na dimensions nyingine si ndo itakuwa ku master aura huko?
Kuhusu longevity Sina uhakika, lakini kuhama ni kuwa na uwezo wa kuona mambo ambayo macho ya kawaida hayawezi kuona.Halafu ukishaweza kujua kuhama dimensions nyingine inaweza ikaongeza na longevity?
SawaHapana mkuu, ku master aura hutokana na kuwa na hali nzuri kihisia, kiakili na kimwili.
Kuhusu longevity Sina uhakika, lakini kuhama ni kuwa na uwezo wa kuona mambo ambayo macho ya kawaida hayawezi kuona.
View attachment 3218565