The following applicants will apply directly to our university

The following applicants will apply directly to our university

adinag

Member
Joined
May 13, 2014
Posts
87
Reaction score
11
wakuu
Mojawapo ni ' form 6 leaver who attended one year certificate course which recognnized by NACTE'.
Nimeenda hapo chuoni ila nimeambiwa sina sifa za kujiunga degree,. Wakuu naomba mnieleweshe huwa wanamaanisha nini wanapotangaza hivyo? Nisaidieni.
 
unaweza ukawa form 6 leaver ambaye hana sifa za kufanya degree yani minimum points na ukawa na sifa za cheti tu. Ikumbukwe ukifeli form6 automatically unakuwa na cheti au sifa kama za mtu aliyemaliza form 4 ambapo unakuwa na sifa za kusoma cheti tu. Ukisoma cheti/certificate ukafaulu then unakuwa na sifa za kufanya diploma na si advanced diploma wala degree.
Mkuu kama ndo ivo basi wewe piga certificate, then ordinary diploma ndo uje degree...
 
mpaka usome certificate mwaka mmoja ya pre university na ufaulu ndo utaweza kwenda degree
 
mpaka usome certificate mwaka mmoja ya pre university na ufaulu ndo utaweza kwenda degree

Hiyo certificate ni sawa na NTA level 4? Pia vyuo gani vinakubali maombi haya? Nisaidie
 
unatakiwa uwe na princpal moja na g.p
.a ya 2..7 dat ol

Asante kwa taarifa luckyluke but vyuo gani vinapokea maombi haya? Pia muda wa maombi tayari? Ukiwa na taarifa zozote naomba nijulishe kwa faida yangu na wengine pia
 
Nataka kusoma hiyo cert af nijoin degree nina dss form six vp naweza join chuo?
 
Mkuu naomba funguka vizuri coz utakua umetusaidia wengi tulio kwama njiani hata mimi nina E S S S ni vyuo gani mkuu
 
Nataka kusoma hiyo cert af nijoin degree nina dss form six vp naweza join chuo?
Soma certificate 1 year, then diploma 2 years. Mlipoambiwa acheni facebook mashuleni mlidhani mnaonewa, sasa piga miaka mingine mitatu ndio ufikirie kuingia degree!
 
kuna certificate ambayo ni uqf level 6.ukifaulu unaenda degree nendeni kiu au st joseph wanayo hiyo kozi ila lazima uwe na principal moja advanced
 
kuna certificate ambayo ni uqf level 6.ukifaulu unaenda degree nendeni kiu au st joseph wanayo hiyo kozi ila lazima uwe na principal moja advanced

Xo kama una ntalevel 4 kiu au st joseph hawakuchukui?
 
Back
Top Bottom