Kabisa...Itakuwa kuna mzungu alikwenda Tanga akapewa Ugali na Maharage ya nazi
Hii ramani ya Afrika ikionesha nchi pamoja na chakula Kikuu cha taifa husika.
View attachment 3206525
Nazi hupatikana zaidi maeneo ya Pwani, Sasa sisi wa Kanda Maalumu na nazi wapi na wapi?Wadau wamekataa mboga ya Maharage ya nazi kabsa