the former liwali (governor) of Mombasa, part of the erstwhile Sultanate of Zanzibar

bagamoyo

JF-Expert Member
Joined
Jan 14, 2010
Posts
24,941
Reaction score
28,869

Source: Zaima TV

Sir Sheik Mubarak bin Ali Alhinawy and son Khalifa bin Mubarak
By The History of Oman and Zanzibar. · Updated about 12 months ago
Khalifa bin Mubarak bin Ali Al Hina’i has very fond memories of his childhood growing up in Mombasa Kenya. “The town was pristine. It wasn’t very crowded and there was this cosmopolitan air about the place with Hindus, Arabs, Boras and Sulaimanis living together,” he recounted. The 62 year old could be anyone recalling childhood memories till he starts talking about times when the Queen Mother, Princess Margaret, Aga Khan IV and the Sultan of Zanzibar visited their family home. “I still remember when my mother entertained Princess Margaret and all of us siblings welcomed her into the house by kissing her hand.”

Khalifa is the twelfth son of Sheikh-Sir Mbarak bin Ali al Hinawy (KBE), the former liwali (governor) of Mombasa, part of the erstwhile Sultanate of Zanzibar. He was part of the Arab Omani ruling elite working with the British colonial ruler to govern the territories. Descended from Arabs who travelled from Oman to Mombasa in the 19th century, Sheikh Mbarak was born in 1896 and went on to serve as the liwali till 1959, a few years before independence movements and revolutions precipitated the end of the sultanate in East Africa. He is the subject of a new book titled Between Empires – The life and times of an Omani gentleman by Dr Zulfikar Hirji, an associate professor at the University of York, Toronto, Canada.
Earlier related: New Publication by author Zulfikar Hirji: Between Empires: Sheikh-Sir Mbarak al-Hinawy
via http://www.theweek.co.om/disCon.aspx?Cval=6713.
 
Afu msiwazingue ma shiraz, ni mandugu zetu mpa mombasani..
 
Mombasa ni Tanzania

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Afu msiwazingue ma shiraz, ni mandugu zetu mpa mombasani..
Mombasa ni Zanzibar, na Zanzibar ni Tanzania.
Subiri Mombasa Republican Council waombe kikao na Magufuli mtajuta

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Mombasa ni Zanzibar, na Zanzibar ni Tanzania.
Subiri Mombasa Republican Council waombe kikao na Magufuli mtajuta

Post sent using JamiiForums mobile app

U must have had Konyagi for breakfast.

Kwanza who told u tgat Zanzibar is part of Tanganyika? Do u understand why it's called TANZANIA? Soma historia!
 
Nenda pale Zanzibar uwaambie hayo ya wao kuwa Tanzania, kwanza huwa wanachukia sana na wanaishi kwa majungu kwamba mumewakoloni. Mnawajazia wanajeshi wengi zaidi ya raia...
Hebu fuata hii mada hapa Zanzibar ni nchi, ila Tanganyika ni sehemu ya jamhuri ya muungano, Tanzania ipo wapi?

ZANZIBAR NI NCHI ILA TANGANYIKA NI SEHEMU YA JAMHURI WA MUUNGANO. TANZANIA IPO WAPI?
Katiba ya zanzanibar inaitambulisha zanzibar kama ni nchi, wananchi na viongozi wao wameapa kuilinda. Katiba ya muungano inasema zanzibar si nchi ila ni sehemu ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Tuache ubabaishaj, zanzibar hawautaki muungano. wamejiandaa kwa kila kitu kuwa nchi.
Nimeishi zanzibar ndo mana ninaujasiri wa kusema haya.
Wana wizara zao zenye majukumu na majina tofauti na bara, (ie wizara ya elimu na mafunzo ya amali). majeshi yao (ingawa sisi tunaviita vikosi), mamlaka za mapato ZRB, (sio TRA),bendera yao ya Taifa, nembo ya utaifa yao, usajiri wa vyombo kama magari na vingine, vitambulisho vya utaifa, benk zao (kama benk ya ya wananchi wa Zanzibar), Mtanganyika haruhusiwi kuomba ajira zanzanzibar.
Kwenda lazima usachiwe kila kitu bandari ya dar na pia ukifika bandari yao. (vua hadi mikanda ya suruali na heren na vyote vya chuma), ukinunua electronic, kama computa na video screen, na vingine lazima ulipie ushuru mara mbili ZRB, na TRA. wana WIMBO wao wa taifa, TV na REDIO za bongo haziruhusiwi kule, utaikuta ZBC na CCTV tu. Rais na mawaziri wa Tanzania hawana mamlaka yoyote zanzanzibar, muundo wa serikal wa zanz ni tofaut kabisa na wa TZ,( ie makam wawili wa rais)
JAMANI…….! HIVI KWANINI TUSIUNGANE KWA PAMOJA KUIDAI TANGANYIKA YA BABU ZETU.
Tukumbuke wazazi wetu walimwaga damu, kuiipigania Tanganyika, hakuna maana ya kuendelea kusherehekea uhuru wetu wa dec 9 kama tunashindwa kujipigania wenyewe. sisi tusipokuwa wazalendo nani atakuwa mzalendo, wazanzibar ni wazalendo ndo mana wanalipigania taifa lao.
SERIKALI TATU ZINAWEZEKANA.
Tuyapuuze maneno ya wanaotutisha kwa kutaka serikali mbili, kwanza hakuna muungano wa serikali mbili zenye mamlaka kamili duniani. mfano mzuri, Rais wa USA (Barack Obama) anasimamia wizara tatu tu, yaan FEDHA, MAMBO YA NJE, na ULINZI, na anaongoza serikali kama 52 za marekani. kwani yeye anaish kwenye ardhi gani, pesa anapata wapi? tusiwe na ubongo mdogo kiasi hicho.
KAZI KWETU………………………………. KWAHERI……..!
 
Source: Zaima TV

Sir Sheik Mubarak bin Ali Alhinawy and son Khalifa bin Mubarak
By The History of Oman and Zanzibar. · Updated about 12 months ago
Khalifa bin Mubarak bin Ali Al Hina’i has very fond memories of his childhood growing up in Mombasa Kenya. “The town was pristine. It wasn’t very crowded and there was this cosmopolitan air about the place with Hindus, Arabs, Boras and Sulaimanis living together,” he recounted. The 62 year old could be anyone recalling childhood memories till he starts talking about times when the Queen Mother, Princess Margaret, Aga Khan IV and the Sultan of Zanzibar visited their family home. “I still remember when my mother entertained Princess Margaret and all of us siblings welcomed her into the house by kissing her hand.”

Khalifa is the twelfth son of Sheikh-Sir Mbarak bin Ali al Hinawy (KBE), the former liwali (governor) of Mombasa, part of the erstwhile Sultanate of Zanzibar. He was part of the Arab Omani ruling elite working with the British colonial ruler to govern the territories. Descended from Arabs who travelled from Oman to Mombasa in the 19th century, Sheikh Mbarak was born in 1896 and went on to serve as the liwali till 1959, a few years before independence movements and revolutions precipitated the end of the sultanate in East Africa. He is the subject of a new book titled Between Empires – The life and times of an Omani gentleman by Dr Zulfikar Hirji, an associate professor at the University of York, Toronto, Canada.
Earlier related: New Publication by author Zulfikar Hirji: Between Empires: Sheikh-Sir Mbarak al-Hinawy
via http://www.theweek.co.om/disCon.aspx?Cval=6713.

Upuzi ghani unatuletea hapa!? Kila siku unatutajia wazungu this wazungu that, kumbe kibaraka wa waarabu wewe !!!

Wakati hio slavery, ubaguzi wa watu wa ngozi nyeusi walikua wanadhulumiwa kila mahali... Mtu yeyote ambaye anasifia huo wakati lazma alikia mmoja wepo wa wanaofanyia maovu waafrica weusi.... Neno sultan hua sipendi kuliskia kabisa! Wakati huo ilikua sultan ndo master na waafrica ni slave, ilikua muafrika hafai hata kumuangalia macho ya sultan, angalia hapo nime highlight

wp_ss_20170716_0001.png

Ametaja waarabu,bora,wahindi, wasuleimani eti wanaishi pamoja lakini hakutaja muafrika hapo alafu anasema eti the town wasn't very "crowded" probably bcause they had chased all the africans away, or the Africans were afraid of leaving near the light skins for fear of being enslaved! huu ndo upuzi unatuletea hapa, stories told through the eyes of an enslaver
 
U must have had Konyagi for breakfast.

Kwanza who told u tgat Zanzibar is part of Tanganyika? Do u understand why it's called TANZANIA? Soma historia!
Who said Zanzibar ni Tanganyika? Reread my post before rushing to expose your ignorance!

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Nenda pale Zanzibar uwaambie hayo ya wao kuwa Tanzania, kwanza huwa wanachukia sana na wanaishi kwa majungu kwamba mumewakoloni. Mnawajazia wanajeshi wengi zaidi ya raia...
Hebu fuata hii mada hapa Zanzibar ni nchi, ila Tanganyika ni sehemu ya jamhuri ya muungano, Tanzania ipo wapi?

ZANZIBAR NI NCHI ILA TANGANYIKA NI SEHEMU YA JAMHURI WA MUUNGANO. TANZANIA IPO WAPI?
Katiba ya zanzanibar inaitambulisha zanzibar kama ni nchi, wananchi na viongozi wao wameapa kuilinda. Katiba ya muungano inasema zanzibar si nchi ila ni sehemu ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Tuache ubabaishaj, zanzibar hawautaki muungano. wamejiandaa kwa kila kitu kuwa nchi.
Nimeishi zanzibar ndo mana ninaujasiri wa kusema haya.
Wana wizara zao zenye majukumu na majina tofauti na bara, (ie wizara ya elimu na mafunzo ya amali). majeshi yao (ingawa sisi tunaviita vikosi), mamlaka za mapato ZRB, (sio TRA),bendera yao ya Taifa, nembo ya utaifa yao, usajiri wa vyombo kama magari na vingine, vitambulisho vya utaifa, benk zao (kama benk ya ya wananchi wa Zanzibar), Mtanganyika haruhusiwi kuomba ajira zanzanzibar.
Kwenda lazima usachiwe kila kitu bandari ya dar na pia ukifika bandari yao. (vua hadi mikanda ya suruali na heren na vyote vya chuma), ukinunua electronic, kama computa na video screen, na vingine lazima ulipie ushuru mara mbili ZRB, na TRA. wana WIMBO wao wa taifa, TV na REDIO za bongo haziruhusiwi kule, utaikuta ZBC na CCTV tu. Rais na mawaziri wa Tanzania hawana mamlaka yoyote zanzanzibar, muundo wa serikal wa zanz ni tofaut kabisa na wa TZ,( ie makam wawili wa rais)
JAMANI…….! HIVI KWANINI TUSIUNGANE KWA PAMOJA KUIDAI TANGANYIKA YA BABU ZETU.
Tukumbuke wazazi wetu walimwaga damu, kuiipigania Tanganyika, hakuna maana ya kuendelea kusherehekea uhuru wetu wa dec 9 kama tunashindwa kujipigania wenyewe. sisi tusipokuwa wazalendo nani atakuwa mzalendo, wazanzibar ni wazalendo ndo mana wanalipigania taifa lao.
SERIKALI TATU ZINAWEZEKANA.
Tuyapuuze maneno ya wanaotutisha kwa kutaka serikali mbili, kwanza hakuna muungano wa serikali mbili zenye mamlaka kamili duniani. mfano mzuri, Rais wa USA (Barack Obama) anasimamia wizara tatu tu, yaan FEDHA, MAMBO YA NJE, na ULINZI, na anaongoza serikali kama 52 za marekani. kwani yeye anaish kwenye ardhi gani, pesa anapata wapi? tusiwe na ubongo mdogo kiasi hicho.
KAZI KWETU………………………………. KWAHERI……..!
We may have our squabbles....ila Tanzania is indivisible. Wazanzibari weusi wanajivunia utanzania wao thanks to Mapinduzi. Acha kusikiliza story za waarabu na mabwana zao huko Zanzibar. They will never win that island back. Our union is what makes it Zanzibar-Africa not Zanzibar-Arabia (Islamic state).
Tena East Africans mumshukuru sana Nyerere na Karume mngekuwa na another Islamic terror hotbed right next to you as if Somalia is not enough.

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Upuzi ghani unatuletea hapa!? Kila siku unatutajia wazungu this wazungu that, kumbe kibaraka wa waarabu wewe !!!

Wakati hio slavery, ubaguzi wa watu wa ngozi nyeusi walikua wanadhulumiwa kila mahali... Mtu yeyote ambaye anasifia huo wakati lazma alikia mmoja wepo wa wanaofanyia maovu waafrica weusi.... Neno sultan hua sipendi kuliskia kabisa! Wakati huo ilikua sultan ndo master na waafrica ni slave, ilikua muafrika hafai hata kumuangalia macho ya sultan, angalia hapo nime highlight

View attachment 543486
Ametaja waarabu,bora,wahindi, wasuleimani eti wanaishi pamoja lakini hakutaja muafrika hapo alafu anasema eti the town wasn't very "crowded" probably bcause they had chased all the africans away, or the Africans were afraid of leaving near the light skins for fear of being enslaved! huu ndo upuzi unatuletea hapa, stories told through the eyes of an enslaver
Tell your fellows. Waarabu wangeshawaua waafrika wote pale Zanzibar muungano wetu ndo umeleta black majority rule.

Post sent using JamiiForums mobile app
 
We may have our squabbles....ila Tanzania is indivisible. Wazanzibari weusi wanajivunia utanzania wao thanks to Mapinduzi. Acha kusikiliza story za waarabu na mabwana zao huko Zanzibar. They will never win that island back. Our union is what makes it Zanzibar-Africa not Zanzibar-Arabia (Islamic state).
Tena East Africans mumshukuru sana Nyerere na Karume mngekuwa na another Islamic terror hotbed right next to you as if Somalia is not enough.

Post sent using JamiiForums mobile app

Hivyo unataka niache kuwaskliza 'waarabu' wa Zanzibar lakini nisklize wazao wa sultan wanaodai waliwahi kuimiliki Mombasa. Kifupi ni kwamba mgogoro wenu nyie Watanganyika dhidi ya Wazanzibari hautuhusu, Nyerere ndiye anajua alichowafanyia Wazanzibari na kama wanadai uhuru wao, basi mpambane nao. Juzi niliona mkitishia kuwakatia umeme wakajibu kwamba watatumia vibatari.

Kieneo alichomiliki sultani pale Mombasa alishalipwa na akaenda zake na kumbuka kabla hajaja kutoka Omani aliwakuta watu wa pale, hivyo hamna cha nini wala nini.
 
Upuzi ghani unatuletea hapa!? Kila siku unatutajia wazungu this wazungu that, kumbe kibaraka wa waarabu wewe !!!

Wakati hio slavery, ubaguzi wa watu wa ngozi nyeusi walikua wanadhulumiwa kila mahali... Mtu yeyote ambaye anasifia huo wakati lazma alikia mmoja wepo wa wanaofanyia maovu waafrica weusi.... Neno sultan hua sipendi kuliskia kabisa! Wakati huo ilikua sultan ndo master na waafrica ni slave, ilikua muafrika hafai hata kumuangalia macho ya sultan, angalia hapo nime highlight

View attachment 543486
Ametaja waarabu,bora,wahindi, wasuleimani eti wanaishi pamoja lakini hakutaja muafrika hapo alafu anasema eti the town wasn't very "crowded" probably bcause they had chased all the africans away, or the Africans were afraid of leaving near the light skins for fear of being enslaved! huu ndo upuzi unatuletea hapa, stories told through the eyes of an enslaver

Utaammbiwa na wabatu nao walikuwa waarabu. Mbip faiza foxy atakufafanulia
 
Hivyo unataka niache kuwaskliza 'waarabu' wa Zanzibar lakini nisklize wazao wa sultan wanaodai waliwahi kuimiliki Mombasa. Kifupi ni kwamba mgogoro wenu nyie Watanganyika dhidi ya Wazanzibari hautuhusu, Nyerere ndiye anajua alichowafanyia Wazanzibari na kama wanadai uhuru wao, basi mpambane nao. Juzi niliona mkitishia kuwakatia umeme wakajibu kwamba watatumia vibatari.

Kieneo alichomiliki sultani pale Mombasa alishalipwa na akaenda zake na kumbuka kabla hajaja kutoka Omani aliwakuta watu wa pale, hivyo hamna cha nini wala nini.
Ukanda mzima wa pwani yenu ulikuwa ni sehemu ya Zanzibar. Wazungu ndo walikubaliana kubadilishana mjerumani akapewa Mlima Kilimanjaro nyie mkapewa Pwani.

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Who said Zanzibar ni Tanganyika? Reread my post before rushing to expose your ignorance!

Post sent using JamiiForums mobile app
U have just confirmed my earlier guess regarding what u had for breakfast this morning, and clearly it wasnt just one bottle, and clearly u still on it.

Where did I say that u said that Znz is Tanganyika?
I only disputed your comment that Mombasa belongs to Zanzibar, which is part of the Tanganyika+ Zanzibar+ Pemba amalgamation that formed Tanzania.

Therefore, in effect, Mombasa belongs to that federation, but not Kenya's. That kind of debate cannot be tolerated by Kenya, (except that other debate regarding Mount Kilimanjaro).

The manner in Which the former territories on the mainland of the old Zanzibar Sultanate was ceded to Kenya makes any such debate null and void.
 
Ukanda mzima wa pwani yenu ulikuwa ni sehemu ya Zanzibar. Wazungu ndo walikubaliana kubadilishana mjerumani akapewa Mlima Kilimanjaro nyie mkapewa Pwani.

Post sent using JamiiForums mobile app

Kabla hajaja huyo sultani wenu ina maana nyani ndio walikua wanaishi huko Pwani ya Kenya???
 
Ukanda mzima wa pwani yenu ulikuwa ni sehemu ya Zanzibar. Wazungu ndo walikubaliana kubadilishana mjerumani akapewa Mlima Kilimanjaro nyie mkapewa Pwani.

Post sent using JamiiForums mobile app

We agree. So is the huge chunk of the Tanganyika coast.
So, does Dar really belong to Tanganyika?
 
U have just confirmed my earlier guess regarding what u had for breakfast this morning, and clearly it wasnt just one bottle, and clearly u still on it.

Where did I say that u said that Znz is Tanganyika?
I only disputed your comment that Mombasa belongs to Zanzibar, which is part of the Tanganyika+ Zanzibar+ Pemba amalgamation that formed Tanzania.

Therefore, in effect, Mombasa belongs to that federation, but not Kenya's. That kind of debate cannot be tolerated by Kenya, (except that other debate regarding Mount Kilimanjaro).

The manner in Which the former territories on the mainland of the old Zanzibar Sultanate was ceded to Kenya makes any such debate null and void.
You can't bring up the Mt. Kilimanjaro debate without the Kenyan coast one. The two are directly related. Kilimanjaro is in Tanzania because Mombasa is in Kenya. Simple.
FYI, Zanzibar is Unguja+Pemba+many other small islands. So you can't say Zanzibar + Pemba. Just a slight correction.

Post sent using JamiiForums mobile app
 
We agree. So is the huge chunk of the Tanganyika coast.
So, does Dar really belong to Tanganyika?
No it belongs to Tanzania, which is Zanzibar and Tanganyika in unison.

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Kabla hajaja huyo sultani wa Zanzibari ina maana nyani ndio walikua wanaishi huko Pwani ya Kenya???
Kenya did not exist at that time.

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Nenda pale Zanzibar uwaambie hayo ya wao kuwa Tanzania, kwanza huwa wanachukia sana na wanaishi kwa majungu kwamba mumewakoloni. Mnawajazia wanajeshi wengi zaidi ya raia...
Hebu fuata hii mada hapa Zanzibar ni nchi, ila Tanganyika ni sehemu ya jamhuri ya muungano, Tanzania ipo wapi?

ZANZIBAR NI NCHI ILA TANGANYIKA NI SEHEMU YA JAMHURI WA MUUNGANO. TANZANIA IPO WAPI?
Katiba ya zanzanibar inaitambulisha zanzibar kama ni nchi, wananchi na viongozi wao wameapa kuilinda. Katiba ya muungano inasema zanzibar si nchi ila ni sehemu ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Tuache ubabaishaj, zanzibar hawautaki muungano. wamejiandaa kwa kila kitu kuwa nchi.
Nimeishi zanzibar ndo mana ninaujasiri wa kusema haya.
Wana wizara zao zenye majukumu na majina tofauti na bara, (ie wizara ya elimu na mafunzo ya amali). majeshi yao (ingawa sisi tunaviita vikosi), mamlaka za mapato ZRB, (sio TRA),bendera yao ya Taifa, nembo ya utaifa yao, usajiri wa vyombo kama magari na vingine, vitambulisho vya utaifa, benk zao (kama benk ya ya wananchi wa Zanzibar), Mtanganyika haruhusiwi kuomba ajira zanzanzibar.
Kwenda lazima usachiwe kila kitu bandari ya dar na pia ukifika bandari yao. (vua hadi mikanda ya suruali na heren na vyote vya chuma), ukinunua electronic, kama computa na video screen, na vingine lazima ulipie ushuru mara mbili ZRB, na TRA. wana WIMBO wao wa taifa, TV na REDIO za bongo haziruhusiwi kule, utaikuta ZBC na CCTV tu. Rais na mawaziri wa Tanzania hawana mamlaka yoyote zanzanzibar, muundo wa serikal wa zanz ni tofaut kabisa na wa TZ,( ie makam wawili wa rais)
JAMANI…….! HIVI KWANINI TUSIUNGANE KWA PAMOJA KUIDAI TANGANYIKA YA BABU ZETU.
Tukumbuke wazazi wetu walimwaga damu, kuiipigania Tanganyika, hakuna maana ya kuendelea kusherehekea uhuru wetu wa dec 9 kama tunashindwa kujipigania wenyewe. sisi tusipokuwa wazalendo nani atakuwa mzalendo, wazanzibar ni wazalendo ndo mana wanalipigania taifa lao.
SERIKALI TATU ZINAWEZEKANA.
Tuyapuuze maneno ya wanaotutisha kwa kutaka serikali mbili, kwanza hakuna muungano wa serikali mbili zenye mamlaka kamili duniani. mfano mzuri, Rais wa USA (Barack Obama) anasimamia wizara tatu tu, yaan FEDHA, MAMBO YA NJE, na ULINZI, na anaongoza serikali kama 52 za marekani. kwani yeye anaish kwenye ardhi gani, pesa anapata wapi? tusiwe na ubongo mdogo kiasi hicho.
KAZI KWETU………………………………. KWAHERI……..!
Zanzibar ina majeshi gani?
 
Back
Top Bottom