Queen Esther
JF-Expert Member
- Apr 5, 2012
- 2,206
- 1,464
Subiri siku akiletewa zawadi ndio utajua nayeye ni mshindi au la!Leo nimeamini mashabiki wa ccm ni mataahira. Mnampongeza mtu ambaye hajashinda? Mods naomba nyuzi zote za haya mataahira muwe mnazifyekelea mbali maana ni kichefuchefu tu.
Kwa hiyo aliyeshinda tumuitaje sasa? Au Akufo Nana sio mshindi?Subiri siku akiletewa zawadi ndio utajua nayeye ni mshindi au la!
sasa unawabishia U. K magazine mkuu, wao sii ndio walioandika winners au. Hebu fanya chapu uingie kwenye website yao basi. Kwani unayaona majina ya maraisi wa nchi zingine hapo kwenye list?Kwa hiyo aliyeshinda tumuitaje sasa? Au Akufo Nana sio mshindi?
si ajabu hata darasani hujawai hata kushika nafasi ya 10, pole sana.Mtu yuko madarakani kwa fake mandate halafu mnamdanganya kuwa eti anakubalika kwa kuwa wa pili kwani mshindi wa pili waga ana kombe gani. Very useless.
Kwani ccm wamekwama wapi na kushindwa kumfanya awe namba moja?Mimi nilifikiri chadema wana wingi kiasi kwamba wangesababisha Jpm awe wa mwisho tena kwa kupata 0%
Kumbe pamoja na kuhamasishana kote bado kawa wapili tena kwa mpishano wa 10%?
Bavicha mmekwama wapi?
si ajabu hata darasani hujawai hata kushika nafasi ya 10, pole sana.Kwani ccm wamekwama wapi na kushindwa kumfanya awe namba moja?
Jibu swali, maana inaonekana mategemeo ya ccm na chadema yote yamefelisi ajabu hata darasani hujawai hata kushika nafasi ya 10, pole sana.
kwani huyu kapewa au kachaguliwa??Hata Buyoya viongozi wenzake Wa Afrika walimpa cheo, sijui cha nini kule. Lakini ajabu kwake Burundi wakamhukumu kwa makosa aliyoyafanya akiwa rais. Watu Wa nje si rahisi kujua yaliko ndani
Soma majina hapo kwenye list ndio washindi hao.mh hapa alikuwa anatafutwa mmoja au wawili? by the way who is the winner? maana unanichanganya bwana
mh hapa alikuwa anatafutwa mmoja au wawili? by the way who is the winner? maana unanichanganya bwana
Kashindwa hakunaga washindi 2Kashika nafasi ya pili!
Amewatupa mbali south na senegal, hilo tu huoni kama ni big win kwake?