The full list of winners of African Leadership Magazine (ALM) Persons of the Year 2020. Hongera sana Rais Dkt. John Magufuli

The full list of winners of African Leadership Magazine (ALM) Persons of the Year 2020. Hongera sana Rais Dkt. John Magufuli

Pongezi kubwa kwako Rais Magufuli. Hakika umewashangaza wengi, wapo waliopambana usipate hata kura moja lakini umepigiwa kura na dunia nzima! Bado utaendelea kuwa Rais Bora Africa!
 
Leo nimeamini mashabiki wa ccm ni mataahira. Mnampongeza mtu ambaye hajashinda? Mods naomba nyuzi zote za haya mataahira muwe mnazifyekelea mbali maana ni kichefuchefu tu.
Subiri siku akiletewa zawadi ndio utajua nayeye ni mshindi au la!
 
Kwa hiyo aliyeshinda tumuitaje sasa? Au Akufo Nana sio mshindi?
sasa unawabishia U. K magazine mkuu, wao sii ndio walioandika winners au. Hebu fanya chapu uingie kwenye website yao basi. Kwani unayaona majina ya maraisi wa nchi zingine hapo kwenye list?
 
Hongera Rais ukweli ni kuwa kazi zako zinaonekana Dunia nzima, hawa wanafiki ukistaafu watakusifia sana huku jukwaani.
 
Mtu yuko madarakani kwa fake mandate halafu mnamdanganya kuwa eti anakubalika kwa kuwa wa pili kwani mshindi wa pili waga ana kombe gani. Very useless.
 
2345690.jpg
 
Mtu yuko madarakani kwa fake mandate halafu mnamdanganya kuwa eti anakubalika kwa kuwa wa pili kwani mshindi wa pili waga ana kombe gani. Very useless.
si ajabu hata darasani hujawai hata kushika nafasi ya 10, pole sana.
 
Mimi nilifikiri chadema wana wingi kiasi kwamba wangesababisha Jpm awe wa mwisho tena kwa kupata 0%

Kumbe pamoja na kuhamasishana kote bado kawa wapili tena kwa mpishano wa 10%?

Bavicha mmekwama wapi?
Kwani ccm wamekwama wapi na kushindwa kumfanya awe namba moja?
 
Hata Buyoya viongozi wenzake Wa Afrika walimpa cheo, sijui cha nini kule. Lakini ajabu kwake Burundi wakamhukumu kwa makosa aliyoyafanya akiwa rais. Watu Wa nje si rahisi kujua yaliko ndani
 
Hata Buyoya viongozi wenzake Wa Afrika walimpa cheo, sijui cha nini kule. Lakini ajabu kwake Burundi wakamhukumu kwa makosa aliyoyafanya akiwa rais. Watu Wa nje si rahisi kujua yaliko ndani
kwani huyu kapewa au kachaguliwa??
 
Mmh hapa alikuwa anatafutwa mmoja au wawili? by the way who is the winner? maana unanichanganya bwana
 
Kawaambie UK watoe walio weka sio mimi. Kwani mimi ndio nimeweka sii wapigie simu UK magazine uwambie aseeeeeeeeee
 
Ebu nenda website yao ukaandilie mwenyewe wewe unadhani mimi ndio nimepanga matokeo au
 
Back
Top Bottom