IDEGENDA
JF-Expert Member
- Sep 15, 2013
- 4,505
- 5,343
Kwenye hiyo category walikuwepo wa nneHao runner up wote toa
Contestants walikua wawili wawili,sasa aliekua anatakiwa ni mmoja tu
Kama washiriki ni wawili wawili kila category,then lazima kutakua na wa kwanza na wa pili,hakuna mwingine tena
Ingekua contestants ni wengi zaidi ya wawili then kungekua na Winner halafu Runner-Up
Umeweka concept ya Runner Up ili loser Magufuli aonekane
Bro,kuna winner Ambae ni Addo halafu kuna Loser ambae ni Magufuli,usiweke neno Runner-Up!
Hakuna watoto hapa
Rais wa Ghana
Rais wa Tz
Rais SA
Rais wa Senegal
... Kwa maana hiyo Magufuli kawatimulia vumbi wasouth na senegal tena hata huyo wa ghana wamepishana na Magu 10% tu.