The future of Javascript developers and their projects: Inachekesha ila inaumiza pia

kali linux

JF-Expert Member
Joined
May 21, 2017
Posts
2,192
Reaction score
5,685
Hello bosses,

Kuna kitu kimenikaa sana ngoja nikiseme. Unajua developers wengi wa kiafrica ninaowafahamu wananishangaza sana hasa hasa kwenye upande wa javascript.

Mtu unakimbilia kujifunza frameworks na libraries tu bila kuwa na core knowledge ya javascript. Hii inapelekea watu kupata errors fln ambazo hawajui wazitatue vp. Au wata-deploy app ambayo mbeleni itakuja kufail vibaya na kusababisha hasara kubwa.

Mfano kwenye java au c/c++ kuna errors fln fln utaziona wakati wa runtime tu, IDEs hazitokusaidia chochote kugundua hizo errors mapema kama hauna core knowledge ya hizo languages. Kitu hikohiko kipo kwenye javascript pia.

Kwa kuwa javascript kwa sasa ni kama 'swiss-knife' inatumika kufanya mambo mengi sana lakini tukiendelea hivyo bila devs kuwa na core knowledge ya namna gani javascript na engines zake zinavyofanya kazi basi tunatengeneza generation ya software fln hv mdebwedo sana.

Ngoja nitoe mfano hai.

Juzi niliona codes za jamaa fln hv, humo kulikua na 'if condition' ambayo ili-call function ya kwenye library fln ila hio function ina-return promise (thenable object) ambayo kama iko resolved basi itakua na value ya true otherwise false. Tuiite hio function myFunction()

Sasa yule ndugu alienda mazima na if condition yake kama hivi.

JavaScript:
if(myFunction())
{
  //do some action here coz it's true
}
else
{
   //its false so do nothing.
}

Hio condition hapo juu daima na milele itakua inasoma true hata kama hio myFunction() inareturn false(note ina-return thenable object au promise yenye value ya false) na codes za kwenye if block zita-run.

Hio tu inatosha kuleta errors ambazo utashangaa na kuanza kuitupia lawama computer yako au javascript kumbe ww ndio mwenye kosa.

Lakini kama mtu akiwa na core knowledge ya javascript atajua kwamba 'ANY NON EMPTY OBJECT' ikiwekwa ndani ya if condition basi itakupa true. So hata kama hio object ingekua inataka kutuambia false lkn kwa hio structure hapo juu sie tutaona true.

So njia rahisi kabisa ni kuichukua hio function na kuitreat kama promise(thenable object) kama ilivyo hapa chini.

JavaScript:
myFunction().then(function(result){
   if(result)
   {
     //do something
   }
   else
   {
     //real false
   }
}).catch(function(error){
   //catch errors here
})

Kuna scenario nyingi sana mfano mambo ya kucheck variable kwenye if condition kwa kuilinganisha na null au undefined yanahitaji umakini sana coz ni rahisi kupata majibu yasiotegemewa hivyo kuleta errors.

Ninakomalia sana kwenye if conditions kwa sababu programs nyingi hutumia hizo conditions ili kutengeneza flow ya program.

Chanzo kikubwa cha hilo tatizo ni ile watu kusoma kitu nusu nusu. Yaan unakuta mtu anafuatilia tutorial ambayo ni summary of a summary of a summary of javascript book(third generation summary). Humo lazima ukose mambo mengi sana.

~DEVILS AND ANGELS ARE ALWAYS FOUND IN THE DETAILS.

So inabidi kusoma kiumakini vitabu na documentation kama unataka kuwa javascript developer mzuri na ufanye kazi za uhakika, bila hivyo utaanza kwa kuona javascript ni simple sana (coz hizo tutorials ndg ndg zitakudanganya hivyo) lakini baadae utakutana na mambo yakuchanganye na uchukie JS bure.

~Kali Linux
Happy coding..!
Peace...
 
Hivi wakuu nikisema nijifunze coding language from scratch inaweza nichukua muda gani.
 
Inategemea ni language ipi, uelewa wako na je unasoma masaa mangap kwasiku. Average kwa language kma python ili kuijua vizuri ni kma miezi 3 hv kama unasoma masaa 24 kwa week.
 
Shukrani hiyo ni kama masaa Manne kwa wiki. Ninaweza kabisa. Nianze na language ipi na unaweza suggest vitabu vya kuanza navyo.
 
Ni masaa 24 kwa week. Sio nne. Ila hata ukiweza 12hr per week ndani ya miezi mi 4 unaweza ukawa umemaster. Cha msingi ni kusoma kuelewa na kufanya mazoezi.

Kwenye kuchagua language ni lazima ujue kwanza unataka kufanya kitu gani. Je kutengeneza android apps, ios apps, windows or macos apps, kutengeneza website frontend or backend, kutengeneza automation scripts or machine learning. Ukijua hapo ndo unaweza chagua language. Usisoma language ili mradi tu umesoma na haujui wapi pa kuitumia
 
Nimekosea nilitaka kumaanisha kama masaa manne kwa siku. Mi nataka kusoma itayoniwezesha kutengeneza app za android na websites.
 
Hello bosses,

Kuna kitu kimenikaa sana ngoja nikiseme. Unajua developers wengi wa kiafrica ninaowafahamu wananishangaza sana hasa hasa kwenye upande wa javascript.

Mtu unakimbilia kujifunza frameworks na libraries tu bila kuwa na core knowledge ya javascript. Hii inapelekea watu kupata errors fln ambazo hawajui wazitatue vp. Au wata-deploy app ambayo mbeleni itakuja kufail vibaya na kusababisha hasara kubwa.

Mfano kwenye java au c/c++ kuna errors fln fln utaziona wakati wa runtime tu, IDEs hazitokusaidia chochote kugundua hizo errors mapema kama hauna core knowledge ya hizo languages. Kitu hikohiko kipo kwenye javascript pia.

Kwa kuwa javascript kwa sasa ni kama 'swiss-knife' inatumika kufanya mambo mengi sana lakini tukiendelea hivyo bila devs kuwa na core knowledge ya namna gani javascript na engines zake zinavyofanya kazi basi tunatengeneza generation ya software fln hv mdebwedo sana.

Ngoja nitoe mfano hai.

Juzi niliona codes za jamaa fln hv, humo kulikua na 'if condition' ambayo ili-call function ya kwenye library fln ila hio function ina-return promise (thenable object) ambayo kama iko resolved basi itakua na value ya true otherwise false. Tuiite hio function myFunction()

Sasa yule ndugu alienda mazima na if condition yake kama hivi.

JavaScript:
if(myFunction())
{
  //do some action here coz it's true
}
else
{
   //its false so do nothing.
}

Hio condition hapo juu daima na milele itakua inasoma true hata kama hio myFunction() inareturn false(note ina-return thenable object au promise yenye value ya false) na codes za kwenye if block zita-run.

Hio tu inatosha kuleta errors ambazo utashangaa na kuanza kuitupia lawama computer yako au javascript kumbe ww ndio mwenye kosa.

Lakini kama mtu akiwa na core knowledge ya javascript atajua kwamba 'ANY NON EMPTY OBJECT' ikiwekwa ndani ya if condition basi itakupa true. So hata kama hio object ingekua inataka kutuambia false lkn kwa hio structure hapo juu sie tutaona true.

So njia rahisi kabisa ni kuichukua hio function na kuitreat kama promise(thenable object) kama ilivyo hapa chini.

JavaScript:
myFunction().then(function(result){
   if(result)
   {
     //do something
   }
   else
   {
     //real false
   }
}).catch(function(error){
   //catch errors here
})

Kuna scenario nyingi sana mfano mambo ya kucheck variable kwenye if condition kwa kuilinganisha na null au undefined yanahitaji umakini sana coz ni rahisi kupata majibu yasiotegemewa hivyo kuleta errors.

Ninakomalia sana kwenye if conditions kwa sababu programs nyingi hutumia hizo conditions ili kutengeneza flow ya program.

Chanzo kikubwa cha hilo tatizo ni ile watu kusoma kitu nusu nusu. Yaan unakuta mtu anafuatilia tutorial ambayo ni summary of a summary of a summary of javascript book(third generation summary). Humo lazima ukose mambo mengi sana.

~DEVILS AND ANGELS ARE ALWAYS FOUND IN THE DETAILS.

So inabidi kusoma kiumakini vitabu na documentation kama unataka kuwa javascript developer mzuri na ufanye kazi za uhakika, bila hivyo utaanza kwa kuona javascript ni simple sana (coz hizo tutorials ndg ndg zitakudanganya hivyo) lakini baadae utakutana na mambo yakuchanganye na uchukie JS bure.

~Kali Linux
Happy coding..!
Peace...
Bonge la pointi sina cha kusema

Kuna jamaa walisemaga js inamakando kando mengi ati hawaisomi nikajua tu hawa hawapo kwenye field pendwa hahaha tusome vitabu tuepuke hayo makando kando,

mambo ya try and catch
 
Mzee unaonekana we ni mdeadly sana kwenye hizi mambo.
 
Mi kwanza JavaScript siipendi japo nalazimika kufanya project zangu nyingi kwa JavaScript, nimejaribu typescript sioni utofauti mkubwa na JavaScript, najifunza Dart nione kama itakuwa mbadala wa JavaScript
 
Ni kama kusema haupendi kula wali lakini ukajaribu pilau nayo haukuona utofauti then umeamua kula biriani.

Anyway zote hizo kwa chini kabisa ni javascript sema wameiboresha tu vitu baadhi.

Nakushauri uendelee na typescript au js yenyewe coz dart haina wide range ya kutumia.
 
How about coffeescript!?
 
Back
Top Bottom