The future of Javascript developers and their projects: Inachekesha ila inaumiza pia

nilijua mimi na mambo ya kizamani kusoma mavitabu coz kila mtu yupo bize na tutorials, leo nimepata nguvu zaidi ya kuendelea kusoma vitabu. nilichogundua ukisoma vitabu vinakufanya kuwa mbunifu naweza kusema unakuwa na wigo mpana wa kusolve many problems kuliko kukomaa na kujifunza jambo kwa lengo la kufanya kitu fulani kwa wakati huo.
 
Yeah, hizi tutorials fupifupi ni bora kuzitumia kama reference tu, ukizitumia kama main source ni kuua creativity yako.

Nadhan pia umegundua kwamba jinsi unavyojifunza vitu deep zaidi kwenye field fln ndipo creativity yako katika hio field inaongezeka, unaanza kuona mambo kwa upana na undani zaidi. Pia inakua rahisi kuona kipi kinawezekana na ugumu wake au urahisi uko wapi. Ndo maana kila siku nasema DEVILS AND ANGELS ARE FOUND IN THE DETAILS, SO WE SHOULD READ MORE
 
What You See Is What You Get(WYSIWUG) zimefanya hata vilaza waweze kutengeneza saiti kwa kudrag na kudrop lakini hawajui chochote behind the scene
Hata hizi programming languages zimetusaidia sisi vilaza kutengeneza software kwa urahisi zaidi.
Ingekuwa ni enzi zile za 1 na 0 sidhani kama kungekuwa na hata programmer mmoja hapa Tz.
 
Hello bosses,

Kuna kitu kimenikaa sana ngoja nikiseme. Unajua developers wengi wa kiafrica ninaowafahamu wananishangaza sana hasa hasa kwenye upande wa javascript.

Mtu unakimbilia kujifunza frameworks na libraries tu bila kuwa na core knowledge ya javascript. Hii inapelekea watu kupata errors fln ambazo hawajui wazitatue vp. Au wata-deploy app ambayo mbeleni itakuja kufail vibaya na kusababisha hasara kubwa.

Mfano kwenye java au c/c++ kuna errors fln fln utaziona wakati wa runtime tu, IDEs hazitokusaidia chochote kugundua hizo errors mapema kama hauna core knowledge ya hizo languages. Kitu hikohiko kipo kwenye javascript pia.

Kwa kuwa javascript kwa sasa ni kama 'swiss-knife' inatumika kufanya mambo mengi sana lakini tukiendelea hivyo bila devs kuwa na core knowledge ya namna gani javascript na engines zake zinavyofanya kazi basi tunatengeneza generation ya software fln hv mdebwedo sana.

Ngoja nitoe mfano hai.

Juzi niliona codes za jamaa fln hv, humo kulikua na 'if condition' ambayo ili-call function ya kwenye library fln ila hio function ina-return promise (thenable object) ambayo kama iko resolved basi itakua na value ya true otherwise false. Tuiite hio function myFunction()

Sasa yule ndugu alienda mazima na if condition yake kama hivi.

JavaScript:
if(myFunction())
{
  //do some action here coz it's true
}
else
{
   //its false so do nothing.
}

Hio condition hapo juu daima na milele itakua inasoma true hata kama hio myFunction() inareturn false(note ina-return thenable object au promise yenye value ya false) na codes za kwenye if block zita-run.

Hio tu inatosha kuleta errors ambazo utashangaa na kuanza kuitupia lawama computer yako au javascript kumbe ww ndio mwenye kosa.

Lakini kama mtu akiwa na core knowledge ya javascript atajua kwamba 'ANY NON EMPTY OBJECT' ikiwekwa ndani ya if condition basi itakupa true. So hata kama hio object ingekua inataka kutuambia false lkn kwa hio structure hapo juu sie tutaona true.

So njia rahisi kabisa ni kuichukua hio function na kuitreat kama promise(thenable object) kama ilivyo hapa chini.

JavaScript:
myFunction().then(function(result){
   if(result)
   {
     //do something
   }
   else
   {
     //real false
   }
}).catch(function(error){
   //catch errors here
})

Kuna scenario nyingi sana mfano mambo ya kucheck variable kwenye if condition kwa kuilinganisha na null au undefined yanahitaji umakini sana coz ni rahisi kupata majibu yasiotegemewa hivyo kuleta errors.

Ninakomalia sana kwenye if conditions kwa sababu programs nyingi hutumia hizo conditions ili kutengeneza flow ya program.

Chanzo kikubwa cha hilo tatizo ni ile watu kusoma kitu nusu nusu. Yaan unakuta mtu anafuatilia tutorial ambayo ni summary of a summary of a summary of javascript book(third generation summary). Humo lazima ukose mambo mengi sana.

~DEVILS AND ANGELS ARE ALWAYS FOUND IN THE DETAILS.

So inabidi kusoma kiumakini vitabu na documentation kama unataka kuwa javascript developer mzuri na ufanye kazi za uhakika, bila hivyo utaanza kwa kuona javascript ni simple sana (coz hizo tutorials ndg ndg zitakudanganya hivyo) lakini baadae utakutana na mambo yakuchanganye na uchukie JS bure.

~Kali Linux
Happy coding..!
Peace...
Nimeshalogwa na async ... await . Sipendelei kuandika chain za promise.
Kuhusu uliloongea hilo ni kweli kabisa. Kuna dev mmoja alisema yeye alianza kusoma Node.js kabla ya JavaScript.
 
𝗟𝗲𝗮𝗿𝗻 𝗳𝘂𝗻𝗱𝗮𝗺𝗲𝗻𝘁𝗮𝗹𝘀, 𝗻𝗼𝘁 𝗳𝗿𝗮𝗺𝗲𝘄𝗼𝗿𝗸𝘀

Have you ever wondered why some technologies are still with us, and some disappeared? Here is 𝘁𝗵𝗲 𝗟𝗶𝗻𝗱𝘆 𝗘𝗳𝗳𝗲𝗰𝘁 to explain it. This effect tells me that 𝗯𝘆 𝘁𝗵𝗲 𝘁𝗶𝗺𝗲 𝗜 𝗿𝗲𝘁𝗶𝗿𝗲, 𝗱𝗲𝘃𝗲𝗹𝗼𝗽𝗲𝗿𝘀 𝘄𝗶𝗹𝗹 𝘀𝘁𝗶𝗹𝗹 𝗯𝗲 𝘂𝘀𝗶𝗻𝗴 𝗖# 𝗮𝗻𝗱 𝗦𝗤𝗟. It is a concept in technology and innovation that suggests that the future life expectancy of a non-perishable item is proportional to its current age. In other words, the longer an item has been in use, the longer it is likely to continue to be used.

The concept was named after Lindy's Deli in New York City, where Nassim Nicholas Taleb popularized it in his book "𝗧𝗵𝗲 𝗕𝗹𝗮𝗰𝗸 𝗦𝘄𝗮𝗻." According to Taleb, the Lindy effect applies to many things, including technologies, ideas, and cultures, and evaluates their potential longevity.

In software development, we see that 𝗳𝗿𝗮𝗺𝗲𝘄𝗼𝗿𝗸𝘀 𝗰𝗼𝗺𝗲 𝗮𝗻𝗱 𝗴𝗼, 𝗯𝘂𝘁 𝗹𝗮𝗻𝗴𝘂𝗮𝗴𝗲𝘀 𝘀𝘂𝗰𝗵 𝗮𝘀 𝗦𝗤𝗟 𝗼𝗿 𝗖# 𝗮𝗻𝗱 𝗰𝗼𝗻𝗰𝗲𝗽𝘁𝘀 𝘀𝘂𝗰𝗵 𝗮𝘀 𝗢𝗯𝗷𝗲𝗰𝘁-𝗼𝗿𝗶𝗲𝗻𝘁𝗲𝗱 𝗽𝗿𝗼𝗴𝗿𝗮𝗺𝗺𝗶𝗻𝗴 𝗼𝗿 𝗦𝗢𝗟𝗜𝗗 𝗽𝗿𝗶𝗻𝗰𝗶𝗽𝗹𝗲𝘀 𝘀𝘁𝗮𝘆. All the energy I put into learning those technologies 10-15 years ago continues to support my work today. Some things changed, but the fundamentals stayed and even got better.

So, try to 𝗹𝗲𝗮𝗿𝗻 𝘁𝗵𝗶𝗻𝗴𝘀 𝘁𝗵𝗮𝘁 𝗱𝗼𝗻'𝘁 𝗰𝗵𝗮𝗻𝗴𝗲 (quote from Jeff Bezos). Focus on foundations, not frameworks. I've been doing this for two decades now.
 
Back
Top Bottom