Soma hii course itakupa introduction to python. Ukishajua basics ndio utaenda kwenye vitu more advancedNataka soma Python lang mkuu naomba muongozo naona hapo kwenye replay nilisahau kuedit bfr hujani quote hii..
Yeah, hizi tutorials fupifupi ni bora kuzitumia kama reference tu, ukizitumia kama main source ni kuua creativity yako.nilijua mimi na mambo ya kizamani kusoma mavitabu coz kila mtu yupo bize na tutorials, leo nimepata nguvu zaidi ya kuendelea kusoma vitabu. nilichogundua ukisoma vitabu vinakufanya kuwa mbunifu naweza kusema unakuwa na wigo mpana wa kusolve many problems kuliko kukomaa na kujifunza jambo kwa lengo la kufanya kitu fulani kwa wakati huo.
Shukrani sana kaka ngoja nikomae...Soma hii course itakupa introduction to python. Ukishajua basics ndio utaenda kwenye vitu more advanced
Html5, CSS3 &JavascriptMi nataka nijifunze web design program ipi itanifaa
Sent from my SM-A013G using JamiiForums mobile app
Hata hizi programming languages zimetusaidia sisi vilaza kutengeneza software kwa urahisi zaidi.What You See Is What You Get(WYSIWUG) zimefanya hata vilaza waweze kutengeneza saiti kwa kudrag na kudrop lakini hawajui chochote behind the scene
Nimeshalogwa na async ... await . Sipendelei kuandika chain za promise.Hello bosses,
Kuna kitu kimenikaa sana ngoja nikiseme. Unajua developers wengi wa kiafrica ninaowafahamu wananishangaza sana hasa hasa kwenye upande wa javascript.
Mtu unakimbilia kujifunza frameworks na libraries tu bila kuwa na core knowledge ya javascript. Hii inapelekea watu kupata errors fln ambazo hawajui wazitatue vp. Au wata-deploy app ambayo mbeleni itakuja kufail vibaya na kusababisha hasara kubwa.
Mfano kwenye java au c/c++ kuna errors fln fln utaziona wakati wa runtime tu, IDEs hazitokusaidia chochote kugundua hizo errors mapema kama hauna core knowledge ya hizo languages. Kitu hikohiko kipo kwenye javascript pia.
Kwa kuwa javascript kwa sasa ni kama 'swiss-knife' inatumika kufanya mambo mengi sana lakini tukiendelea hivyo bila devs kuwa na core knowledge ya namna gani javascript na engines zake zinavyofanya kazi basi tunatengeneza generation ya software fln hv mdebwedo sana.
Ngoja nitoe mfano hai.
Juzi niliona codes za jamaa fln hv, humo kulikua na 'if condition' ambayo ili-call function ya kwenye library fln ila hio function ina-return promise (thenable object) ambayo kama iko resolved basi itakua na value ya true otherwise false. Tuiite hio function myFunction()
Sasa yule ndugu alienda mazima na if condition yake kama hivi.
JavaScript:if(myFunction()) { //do some action here coz it's true } else { //its false so do nothing. }
Hio condition hapo juu daima na milele itakua inasoma true hata kama hio myFunction() inareturn false(note ina-return thenable object au promise yenye value ya false) na codes za kwenye if block zita-run.
Hio tu inatosha kuleta errors ambazo utashangaa na kuanza kuitupia lawama computer yako au javascript kumbe ww ndio mwenye kosa.
Lakini kama mtu akiwa na core knowledge ya javascript atajua kwamba 'ANY NON EMPTY OBJECT' ikiwekwa ndani ya if condition basi itakupa true. So hata kama hio object ingekua inataka kutuambia false lkn kwa hio structure hapo juu sie tutaona true.
So njia rahisi kabisa ni kuichukua hio function na kuitreat kama promise(thenable object) kama ilivyo hapa chini.
JavaScript:myFunction().then(function(result){ if(result) { //do something } else { //real false } }).catch(function(error){ //catch errors here })
Kuna scenario nyingi sana mfano mambo ya kucheck variable kwenye if condition kwa kuilinganisha na null au undefined yanahitaji umakini sana coz ni rahisi kupata majibu yasiotegemewa hivyo kuleta errors.
Ninakomalia sana kwenye if conditions kwa sababu programs nyingi hutumia hizo conditions ili kutengeneza flow ya program.
Chanzo kikubwa cha hilo tatizo ni ile watu kusoma kitu nusu nusu. Yaan unakuta mtu anafuatilia tutorial ambayo ni summary of a summary of a summary of javascript book(third generation summary). Humo lazima ukose mambo mengi sana.
~DEVILS AND ANGELS ARE ALWAYS FOUND IN THE DETAILS.
So inabidi kusoma kiumakini vitabu na documentation kama unataka kuwa javascript developer mzuri na ufanye kazi za uhakika, bila hivyo utaanza kwa kuona javascript ni simple sana (coz hizo tutorials ndg ndg zitakudanganya hivyo) lakini baadae utakutana na mambo yakuchanganye na uchukie JS bure.
~Kali Linux
Happy coding..!
Peace...
๐๐ฒ๐ฎ๐ฟ๐ป ๐ณ๐๐ป๐ฑ๐ฎ๐บ๐ฒ๐ป๐๐ฎ๐น๐, ๐ป๐ผ๐ ๐ณ๐ฟ๐ฎ๐บ๐ฒ๐๐ผ๐ฟ๐ธ๐Hello bosses,

UmemalizaShukrani kwa muongozo.
Na hii sio kwa JS tu, kabla hujasoma framework yeyote hakikisha unaijua core language yake.
Kabla hujasoma django hakikisha unaijua python kabla hujasoma vue.js hakikisha unaijua JS vizuri.