The galactic habitable zone: Lifahamu eneo katika galaxy yetu linalo support uhai

mike2k

JF-Expert Member
Joined
May 12, 2016
Posts
1,571
Reaction score
3,448
The Galactic habitable zone au Goldlocks zone ni eneo karibu na nyota (sunli-like) ambapo hakuna joto sana na sio baridi sana kwa maji kuweza kuwepo kwenye uso wa sayari zinazozunguka. Fikiria ikiwa Dunia ingelikuwa mahali ambapo Pluto ipo. Jua lingeonekana kwa shida sana (karibu saizi ya apple 🍏) na bahari ya Dunia na angahewa lingekuwa limeganda. Kwa upande mwingine, ikiwa Dunia ingechukua nafasi ya Mercury, ingekuwa karibu sana na Jua na bahari ingegeuka mvuke na anga hewa lingeyeyuka, kwa joto lililoko karibu na jua uhai usingeweza ku survive. Umbali ambao Dunia inazunguka Jua ni sawa kwa maji kubaki in liquid form. Umbali huu kutoka kwa Jua unaitwa eneo linaloweza kukaliwa (habitable zone), au eneo la Goldilocks. Sayari zinazopatikana katika maeneo ya nyota zao, kuna uwezekano zaidi wa kugundua maji kwenye surface zao. Kwa nini maji ni muhimu sana? Uhai Duniani ulianza katika maji, na maji ni kiungo muhimu kwa maisha (kama tunavyojua).

MPendwa msomaji, wewe ni kiumbe mwenye bahati za sana kuwepo katika ulimwengu huu kwani umezaliwa sehemu sahihi katika galaxy yetu.

For starters, you are the descendant of an incomprehensible number of lifeforms who were successful, and survived long enough to find a partner, procreate, and have an offspring. Billions of years, and you are the result of an unbroken chain of success, surviving through global catastrophe after catastrophe. Nice going.

Not only that, but your lineage happened to be born on a planet, which was in just the right location around just the right kind of star. Not too hot, not too cold, just the right temperature where liquid water, and whatever else was necessary for life to get going. Again, I like your lucky streak.

In fact, you happened to be born into a universe that has the right physical constants, like the force of gravity or the binding force of atoms, so that stars, planets and even the chemistry of life could happen at all.

But there's another lottery you won, and you probably didn't even know about it. You happened to be born on an unassuming, mostly harmless planet orbiting a G-type main sequence star in the habitable zone of the Milky Way.

Wait a second, even galaxies have habitable zones? Yep, and you're in it right now.

The milk way galaxy ni galaxy kubwa sana ikiwa na kipenyo cha miaka mwanga 180000 light years.

The milk way Galaxy ina jumla ya 🌟 nyota 300-400 billions

We're located about 27,000 light years away from the center of the Milky Way, and tens of thousands of light-years away from the outer rim.

ndani ya milk way Galaxy kuna maeneo yasiyokalika

hasa yaliyoko karibu na katikati mwa Galaxy.

The Milky Way has some really uninhabitable zones. Down near the center of the galaxy, the density of stars is much greater. And these stars are blasting out a combined radiation that would make it much more unlikely for life to evolve.

There's another dangerous place you don't want to be: the galaxy's spiral arms. These are regions of increased density in the galaxy, where star formation is much more common. And newly forming stars blast out dangerous radiation.

Kuna eneo kingine hupaswi kuwepo,

Spiral arm

. Hizi ni regions ya kuongezeka kwa wingi wa heavenly bodies katika galaksi, ambapo malezi ya nyota hujizalisha hapa. nyota mpya zinazounda mlipuko wa mionzi hatari. Eneo hili lina radiation hatari sana katika ku support uhai.

Fortunately, we're far away from the spiral arms, and we orbit the center of the Milky Way in a nice circular orbit, which means we don't cross these spiral arms very often.

We stay nice and far away from the dangerous parts of the Milky Way, however, we're still close enough to the action that our solar system gathered the elements we needed for life.

The first stars in the universe only had hydrogen, helium and a few other trace elements left over from the Big Bang. But when the largest stars detonated as supernovae, they seeded the surrounding regions with heavier elements like oxygen, carbon, even iron and gold.

Our solar nebula was seeded with the heavy elements from many generations of stars, giving us all the raw materials to help set evolution in motion.

If the solar system was further out, we probably wouldn't have gotten enough of those heavier elements. So, thanks multiple generations of dead stars.

According to astrobiologists the galactic habitable zone probably starts just outside the galactic bulge – about 13,000 light-years from the center, and ends about halfway out in the disk, 33,000 light-years from the center.

Remember, we're 27,000 light-years from the center, so just inside that outer edge. Phew.

Of course, not all astronomers believe in this Rare Earth hypothesis. In fact, just as we're finding life on Earth wherever we find water, they believe that life is more robust and resilient. It could still survive and even thrive with more radiation, and less heavier elements.

Furthermore, we're learning that solar systems might be able to migrate a significant distance from where they formed. Stars that started closer in where there were plenty of heavier elements might have drifted outward to the safer, calmer galactic suburbs, giving life a better chance at getting a foothold.

As always, we'll need more data, more research to get an answer to this question.

Just when you thought you were already lucky, it turns out you were super duper extra lucky. Right universe, right lineage, right solar system, right location in the Milky Way. You already won the greatest lottery in existence.

Eneo la GALACTIC HABITABLE ZONE lina wastani wa sayari zaidi ya million 300 zinazoaminika zina support uhai.

Hadi kufikiwa mwaka 2020 jumla ya sayari 55 zilithibitika kuwa na sifa za ku support uhai

As of March 2020, a total of 55 potentially habitable exoplanets have been found.Of those, one is believed to be Sub-terran (Mars-size), 20 Terran (Earth-size) and 34 Super Terran (Super Earths). The main feature of potentially habitable exoplanets is that they have to be located in the habitable zone of their stellar systems (although life is also possible outside this zone, and estimates of the extent of the zone can also vary widely).

Hadi kufikia sasa sayari ambayo imethibitika kuwa sifa za ku support life katika Galactic habitable exoplanet ni Kepler 452-B

Kwenye mfululizo wa mada zetu. Exoplanet ndo topic itakayofatia lakini kwa kionjo tu niigusie kidogo tu hii Kepler 452b.

Sayari hii inaitwa jina la utani earth cousin au earth 2.0 ikiwa na sifa zinazofanana na za dunia yetu.

Sayari hii inapatikana katika nyota ya Cygnus

Ikizunguka orbit yake kwa siku 385.

Kutoka duniani mpk ilipo kepler 452-b ni umbali wa 1800 light year.

Kwa spacecraft itachukua miaka milion 30 kufika hapo.

Astronomers say that the planet is in the “Goldilocks zone”, meaning that the distance of the planet from its star is just right, making it not too hot and not too cold for life to exist.

But the Earth and Kepler-452b are both at just the right distances from their stars so that water can be liquid, at a temperature between 0°C and 100°C.

images (54).jpeg

Picha za Kepler 452b

images (55).jpeg

Muonekano wa Kepler 452 kutokea angani.

Miaka 2020's to 2030's shughuli za uchunguzi wa anga zitapamba moto

JWST ikianza kazi 2022 itafanya kazi ya kuchunguza kiundani uwepo wa elements za uhai katika exoplanet hizi.

Huku Wide Field Infrared Survey Telescope (WFIRST)
trailer_still_1.jpg

Ikiwa kwenye hatua za mwisho kabla ya kuelekezwa angani na kuanza uchunguzi wa uwepo wa uhai katika habitable exoplanet.

Karibuni kwa maswali
 
Aaah hata sijaelewa, hii yenyewe niliyopo imenishinda kuishi, namaliza hewa tu
 
View attachment 2067958
Picha za Kepler 452b

View attachment 2067942

Muonekano wa Kepler 452 kutokea angani.

Miaka 2020's to 2030's shughuli za uchunguzi wa anga zitapamba moto

JWST ikianza kazi 2022 itafanya kazi ya kuchunguza kiundani uwepo wa elements za uhai katika exoplanet hizi.

Huku Wide Field Infrared Survey Telescope (WFIRST)
View attachment 2067953

Ikiwa kwenye hatua za mwisho kabla ya kuelekezwa angani na kuanza uchunguzi wa uwepo wa uhai katika habitable exoplanet.

Karibuni kwa maswali

Kuna mabilioni ya magalaxy,na mabilioni ya nyota na Sayari..Je vipi hakuna uwezekano wa kuwa na viumbe kama sisi kwenye maeneo mengine ya hizo galaxies..Maana kwa uhalisia probability ya kuwa na maisha mengine nje ya dunia kwa ni kubwa sana kwa hali ilivyo
 
18 0000 light years maana yake Nini ? Kwa Nini msiandike kwa lugha ya kawaida
Hii mzee ni kama hesabu
Ukisikia let x=y au assume x=0 hapo umeshadanganya
Tangu lini x=y??
Na kwanini x=0??????
 
Uwezekano wa uhai upo! Kwa sababu mazingira yanayo support uhai katika galaxies nyingine ni makubwa sana.
 
18 0000 light years maana yake Nini ? Kwa Nini msiandike kwa lugha ya kawaida
Tuseme umbali wa kutoka Mbeya kwenda Mwanza, unaweza ukautaja kwa kutumia kipimo cha sentimeta au milimita?
1 light year ni umbali ambao mwanga unaosafiri kwa kasi ya km 300,000 kwa sekunde moja, unaweza kuchukua mwaka mmoja ukiwa unasafiri ili kuweza kufika huko. Ni umbali ambao gari linaloweza kutembea kwa kasi ya km laki tatu kwa sekunde moja, litatumia mwaka mzima linasafiri pasipo kusimama, ili kuweza kufika huko
 
Tatizo ni huo umbali hata kama tukigundua kuna wenzetu huko itakuwa ni kazi bure hatutaweza kwenda huko..tutaishia kusoma tu

Vuta picha mwaka mmoja wa mwanga ni zaidi ya kilometer trillion 9 na ushee😱
Vipi huo umbali wa miaka mwanga 1800???😱Na hatuna kifaa cha kwende speed sawa na mwanga au hata robo yake tu hatuna,,,🙄
 
Vuta picha mwaka mmoja wa mwanga ni zaidi ya kilometer trillion 9 na ushee[emoji33]
Vipi huo umbali wa miaka mwanga 1800???[emoji33]Na hatuna kifaa cha kwende speed sawa na mwanga au hata robo yake tu hatuna,,,[emoji849]
Ni swala la muda tu mkuu Ila naamini ipo siku mtu atakuwa na uwezo wa kutoka duniani na kwenda galaxy za mbali kupiga misele

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Tatizo ni huo umbali hata kama tukigundua kuna wenzetu huko itakuwa ni kazi bure hatutaweza kwenda huko..tutaishia kusoma tu

Vuta picha mwaka mmoja wa mwanga ni zaidi ya kilometer trillion 9 na ushee😱
Vipi huo umbali wa miaka mwanga 1800???😱Na hatuna kifaa cha kwende speed sawa na mwanga au hata robo yake tu hatuna,,,🙄
Nakubaliana na wewe mkuu. Lakini Hakuna tatizo ambalo halina solution mkuu.
Umbali siyo tatizo tena kwa sasa.
Kuna solution mbalimbali za namna ya kusafiri umbali mkubwa hivyo.
Nakuelezea hapa chini kama ifuatavyo.
Hadi sasa hivi chombo oinachoweza safiri huo umbali ni solar sail theoretical.
Solar sails have a maximum speed which is 10% the speed of light, which equates to 18,600 miles per second or, 67,100,000 mph. Solar powered spacecrafts are able to travel faster than conventional rocket fueled spacecrafts due to constant light pressure being applied to the sail propelling it forward.
Hii spacecraft kadiri itakavyoboreshwa itasaidia na kurahisisha umbali wa kusafiri kwa kiasi fulani.

acs3-animation-5seconds-nocaptions_0.gif
 
Hii mzee ni kama hesabu
Ukisikia let x=y au assume x=0 hapo umeshadanganya
Tangu lini x=y??
Na kwanini x=0??????
Hii ni kusema kwamba kwa umbali mrefu sana kwenda huko angani, wanasayansi waliona ugumu kutumia vipimo kama kilomita au maili badala yake wanatumia kasi ya mwanga, kwa mfano hapo 180000 light years wanamaanisha kwa kasi ya mwanga unatakiwa uende miaka 180000 ili kufika hapo mahali

Ukichunguza sana unashindwa hata kupata mantiki ya hv vitu ni just watu wanataka kuwaonesha wenzao kuwa wao wan akili zaidi
 
Kuna mabilioni ya magalaxy,na mabilioni ya nyota na Sayari..Je vipi hakuna uwezekano wa kuwa na viumbe kama sisi kwenye maeneo mengine ya hizo galaxies..Maana kwa uhalisia probability ya kuwa na maisha mengine nje ya dunia kwa ni kubwa sana kwa hali ilivyo
Kuna hizi lost civilization hatufahamu ziliendaga wapi...
Ilihali tukifahamu sasa kuwa zilikuwa developed kwenye space exploration.

Kuna uwezekano ziliondoka hapa duniani zikatafuta sehemu nyingine katika space za kuishi.

Mdo ambacho anakifanya NASA,SPACE X na nchi kaam russia na china ku develop their space 🌌 exploration programme.

Hii dunia siyo sehemu salama kuishi ndani ya miaka 1million kuna siku tutapigwa na kimondo au chochote cha anagni.l
 
Kuna mabilioni ya magalaxy,na mabilioni ya nyota na Sayari..Je vipi hakuna uwezekano wa kuwa na viumbe kama sisi kwenye maeneo mengine ya hizo galaxies..Maana kwa uhalisia probability ya kuwa na maisha mengine nje ya dunia kwa ni kubwa sana kwa hali ilivyo
Kuna hizi lost civilization hatufahamu ziliendaga wapi...
Ilihali tukifahamu sasa kuwa zilikuwa developed kwenye space exploration.

Kuna uwezekano ziliondoka hapa duniani zikatafuta sehemu nyingine katika space za kuishi.

Mdo ambacho anakifanya NASA,SPACE X na nchi kaam russia na china ku develop their space 🌌 exploration programme.

Hii dunia siyo sehemu salama kuishi ndani ya miaka 1million kuna siku tutapigwa na kimondo au chochote cha angani.
 
Dunia sio mahali sahihi kwa binadamu.
Binadamu wana sayari yao na sio hii apa na ndio maana inatusumbua sana, hakuna amani, magonjwa kama yote, mengine mapya yanaibuka kila leo. Ila kwa akili zetu tumeweza kuyamudu hayo magonjwa na misuguano ya hapa na pale.

Si hivyo tu bado baridi linatutesa kwa baadhi ya maeneo, joto vivyo hivyo.
Toalfauti kabisa na mimeo iliyopo maeneo hayo, wala haihitaji support yoyote kuishi na kustawi.

Wanasansi watafute tu sayari yetu aisee hii sio yetu.
 
Back
Top Bottom