Kwanza nikupongeze kwa makala nzuri kabisa na safi, imeweza kutufungua macho zaid katika mtazamo mwingine tunapoiangalia dunia yetu na ulimwengu kiujumla.
Kuna hii notion ya chanzo cha uhai ni lazima Maji yawepo biologically speaking haina uhalisia wa 100% kuhusu hili, ambapo possibility ya kupata viumbe na kuweza ku'evolve lazima maji yawepo katika eneo hilo.
Ofcoz maji yanaweza kuwa chanzo lakin pia kuna possibility ya factors zingine zika'play part ya kuwepo kwa viumbe especially kwa sayari za mbali zenye mazingira completely different na tuliyokuwa nayo sasa.
Mfano wa factor nyingine ni uwepo wa Ammonia (NH3) , kisayansi pia wanakubaliana inaweza kuwa chanzo cha kutokea kwa na ku'evolve viumbe hata kama maji hayapo katika mazingira hayo hususan kwenye Sayar na Galaxy za mbali.
Sifa mojawapo ya Ammonia kukubalika kuwa inaweza kuwa chanzo cha uhai kwa sayari za mbali, ni elements zinazounda Ammonia ambayo ni Hydrogen na Nitrogen ambazo pia ni abundance katika Universe na ni elements zilizo'play part kuibuka kwa life hapa dunian,
lakin pia sifa moja kubwa iliyokuwa nayo Ammonia ni kuweza kuwa Liquid katika in very very low temperature (minus centigrade) huko wakat maji ktk temperature hiyo yanaganda.
Na ukwel ni kwamba Sayari nyingi zinazozinguka Nyota zake katika galaxy mbali mbali pamoja hii ya kwetu, zipo nje ya Habitable, chache ndio zinazopatikana ndan.
So research still zinaendelea kuweza kutafakari life nje ya huu mfumo tuliouzoea.
Kuna kipindi Astrophysicist Neil degrase Tyson alitamka kama utani lakin ina'reflect ukwel kwamba, ikiwa siku Alien wakatutembelea wakipata kiu badala ya kutuomba Maji,
Watatuomba Ammonia kwa ajili ya kukata kiu [emoji23]