Kuna documentary moja niliwahi kuisikiliza youtube inatoa comment kwamba kama tupo peke yetu na hatujui kama tupo peke yrtu, then tuna matataizo makubwa sana. Na iwapo kama hatuko peke yetu na hatujui kama hatuko peke yetu, then tuna mamtatizo makubwa zaidi kwa sababu hatuna uwezo wa kujua ni hatari gani inayoweza kuwa ipo mbele yetuKuna mabilioni ya magalaxy,na mabilioni ya nyota na Sayari..Je vipi hakuna uwezekano wa kuwa na viumbe kama sisi kwenye maeneo mengine ya hizo galaxies..Maana kwa uhalisia probability ya kuwa na maisha mengine nje ya dunia kwa ni kubwa sana kwa hali ilivyo
Sio tu space bali universe nzima hatujui mambo mengi tu,Kuna laws mbalimbali hatujazijua bado ambazo tukizijua zitajibu maswali mengi sanaKuna new Galaxy imepatikana from Webb Telescope inawezekana mambo mengi ya space hatuyajui kama binadamuView attachment 2288949
Kiufupi mwanga waeza zunguka mduara wa dunia( ~ kilomita 40074 ) mara 7.48/s ndani ya sekunda moja. Sasa anza hesabu toka sekunde kwenda dakika>lisaa na masaa>siku>miezi>mpaka mwaka hapo ndio unapata light year(s). 1 light year = 9 trillion km. Zingatia ndani ya vacuum kasi ya mwanga inaongezeka kidogo.18 0000 light years maana yake Nini ? Kwa Nini msiandike kwa lugha ya kawaida
Kuna mabilioni ya magalaxy,na mabilioni ya nyota na Sayari..Je vipi hakuna uwezekano wa kuwa na viumbe kama sisi kwenye maeneo mengine ya hizo galaxies..Maana kwa uhalisia probability ya kuwa na maisha mengine nje ya dunia kwa ni kubwa sana kwa hali ilivyo
Kuna baadhi ya sayari lakini out of Milk way Galaxy(Galaxy ambayo tunaishi sisi)zina mazingira yanayofanana copyright na sayari yetu ya dunia kuna hii imegundulika recentl na NASA inaitwa Kepler ina bahari,na baadhi ya organism wanaofanana kabisa na hwa waliopo duniani na unaambiwa hiyo ni moja tu kati ya mabilioni ya hizo sayari..so uwezekano wa kuwa na binadamu wengine mahala pengine upo ukizingatia mazingira mfananoLabda kuna viumbe ila sio kama hawa waliopo hapa duniani kwetu.
I LY approximates to 9.50 trillion kilometersKiufupi mwanga waeza zunguka mduara wa dunia( ~ kilomita 40074 ) mara 7.48/s ndani ya sekunda moja. Sasa anza hesabu toka sekunde kwenda dakika>lisaa na masaa>siku>miezi>mpaka mwaka hapo ndio unapata light year(s). 1 light year = 9 trillion km. Zingatia ndani ya vacuum kasi ya mwanga inaongezeka kidogo.
Maana yake endapo ukisafiri kwa kasi ya mwanga utatumia miaka 18,000 kufika hapo18 0000 light years maana yake Nini ? Kwa Nini msiandike kwa lugha ya kawaida
acha malalamiko babu ukibadili hii kwa km mi namba itakuwa mingi sana, na kwa space ni rahisi zaidi kupima kwa mwanga maana huwezi kutandaza tape upime umbali!.. mbona ni mantiki ya kawaida na inayoeleweka wataka walete takwimu kwa km sehemu ambayo utatumia miaka 18000 kwa kasi ya mwanga hizo kilomita unajua ni ngapi!.Hii ni kusema kwamba kwa umbali mrefu sana kwenda huko angani, wanasayansi waliona ugumu kutumia vipimo kama kilomita au maili badala yake wanatumia kasi ya mwanga, kwa mfano hapo 180000 light years wanamaanisha kwa kasi ya mwanga unatakiwa uende miaka 180000 ili kufika hapo mahali
Ukichunguza sana unashindwa hata kupata mantiki ya hv vitu ni just watu wanataka kuwaonesha wenzao kuwa wao wan akili zaidi
Kwa kipimo hicho cha speed ya mwanga, kutoka tz hadi marekani ni muda gani nitatumia?Maana yake ni ukitumia speed ya mwanga utatumia miaka 180000 kufika.