I had the Triology...and read the book....
Can someone tell me how Vito became Don??
nimesoma novel na nina movies part one & two
itafute sicilianI got this name from Mario Puzo's works, "The Last Don".
One of the best writers when it comes to Mafia Related Write-ups.
itafute sicilian
Hiko pia nimekisoma, kuna dogo nimemsahau jina alikuwa anaishi mapangoni, then alikuja kuuawa akiwa anataka kusafiri kwend USA, dili likiwa limemuhusisha Michael Corleone, tena alichomeshwa na rafiki yake wa karibu.
Huyu rafiki aliyemchoma mshikaji aliuawa akiwa gerezani kama nakumbuka vizuri, kukaachwa note ya kutoa taarifa kwamba msaliti hastahili kuishi.
Tafuta part 3 bonge la movienimesoma novel na nina movies part one & two
Salvatore "turi"
Alikuwa anapora matajiri anawapa masikini huko sicily
sasa madon (Mafia bosese) wa kule wakachonga mpango na Don Corleone ili amchukue Turi aende USA.
Ilipangwa aondoke na Michael Corleone ambaye alikuwa mafichoni sicily,
Asee hii hatar sanaRevenge is the dish that taste best when it is cold
Yeah,the Sicilian sio mchezo however mi nampa thumb up kwenye The Last DonAchana kabisa na Mario Puzo, hiyo kitu niliisoma mara tatu kwa kuirudia. Sasa kuna kitu chake kingine kinaitwa The Sicilian ni balaa
Yeah,the Sicilian sio mchezo however mi nampa thumb up kwenye The Last Don
Pete Clemenza alimwaproach Vito kuhusu deal la kuteka magari yenye bidhaa na kuziuza hizo bidhaa, walikuwa ni Vito, Tessio na Clemenza.
Baada ya kufanikisha deal Fanucci ambaye alikuwa mbabe kitaa akataka mgao, Vito akampa mgao ule ila akamuua the same day.
Hapo ndo kina Clemenza na Tessio walipoanza kumpa heshima jamaa.
Exactly, Salvatore Turi Guiliano.
Jamaa aliwahi kuvamia gereza kuwafungulia watu, kitu kama hicho.
Long time, inabidi nivirudie hivi vitabu.
hapa naona mnachanganya movie mbili, mike alipokuwa Sicily, bdygd wake alimtegea bomu afe, matokeo yake alikufa mkewe apolonia, na huko usa walishamuua kaka mtu kwa risasi kibao, ndio mike akarudi usa.- the godfather
nadhani turi, alfuatwa na Cross italy, baada ya kuhusika na njama za kumuua mjukuu wa mzee claracuzio kwa bintie alie olewa n famlia ya santario. - the last don