Duduvwili
JF-Expert Member
- Jan 31, 2015
- 4,355
- 4,476
Ndie huyo haswaakwani wewe ndo badae ukaitwa thom heagen?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndie huyo haswaakwani wewe ndo badae ukaitwa thom heagen?
Mkuu tupia link bas ya hzo novel hapaAchana kabisa na Mario Puzo, hiyo kitu niliisoma mara tatu kwa kuirudia. Sasa kuna kitu chake kingine kinaitwa The Sicilian ni balaa
Exactly, Turi aliuwawa wakati yuko njiani kwenda kuonana na Michael na Clemeza ili waende naye USAStory ya Michael kutegewa bomu kwenye gari iko kwenye Godfather.
Ila kwenye The Sicilian Michael ametokea tena mara nyingi, na alihusishwa na mpango wa kutaka kuondoka na Turi akawe member wa Corleone.
Nadhani Pete Clemenza alihusishwa na mpango huo pia.
Tom Hagen alikua adopted, akasomeshwa sheria na kufanywa kuwa Consigliere wa familia. Hivyo Consigliere ndiye mshauri na mwanasheria wa familia na shughuli zao zote.wewe ulikuwa adopted toka wapi? ulikuwa unaishi na kina sony au!
Tom Hagen alikua adopted, akasomeshwa sheria na kufanywa kuwa Consigliere wa familia. Hivyo Consigliere ndiye mshauri na mwanasheria wa familia na shughuli zao zote.
Na kila familia lazima iwe na consigliere wake
Akawa senator wa NevadaBaada ya Michael kuwa mkuu wa Familia alimshauri Tom Hagen kugombea u-governor ili awe kwenye system.
Akawa senator wa Nevada
Nilikuwa wish ya Mzee Vitto kuwa at least moja ya member wa family awe kwenye system.Baada ya Michael kuwa mkuu wa Familia alimshauri Tom Hagen kugombea u-governor ili awe kwenye system.
Namkubali sana Don't Crelicuzio!!Yes namkumbuka sana jamaa.
Inabidi nirudie kumsoma tena jamaa, maana ni muda tena sijamsoma.
Nilikuwa wish ya Mzee Vitto kuwa at least moja ya member wa family awe kwenye system.
Ulimwambia Michae" I never wanted this for You,and I refused to be fooled by those big shots who holds those strings. I wanted you to be the one who holds that,governor Corleone,senator Corleone but we did not had time Michael"
Michael akamjibu," I can handle it,we will get there pop!!
Baada ya Hapo Don Corleone akafa bustanini!!

Do you think you can fool the corleone?Mike alikuwa ni shida nyingine, jinsi alivyowaondoa kina Barzini na Tattaglia on the same time, heshima sana.
Alijua Ishu za Mafia ,kubaki mjane ni dakika 0.Hakutaka binti yake apitie hizo.Mike alikuwa mtu wa visasi sana! Sikuelewa ni kwanini alimkataza Vincent asiwe na mahusiano na binti yake? Wakati demu alikolea kwa mchizi!!