The Godfather ya Mario Puzo

The Godfather ya Mario Puzo

Story ya Michael kutegewa bomu kwenye gari iko kwenye Godfather.

Ila kwenye The Sicilian Michael ametokea tena mara nyingi, na alihusishwa na mpango wa kutaka kuondoka na Turi akawe member wa Corleone.

Nadhani Pete Clemenza alihusishwa na mpango huo pia.
Exactly, Turi aliuwawa wakati yuko njiani kwenda kuonana na Michael na Clemeza ili waende naye USA
 
wewe ulikuwa adopted toka wapi? ulikuwa unaishi na kina sony au!
Tom Hagen alikua adopted, akasomeshwa sheria na kufanywa kuwa Consigliere wa familia. Hivyo Consigliere ndiye mshauri na mwanasheria wa familia na shughuli zao zote.
Na kila familia lazima iwe na consigliere wake
 
Baada ya Michael kuwa mkuu wa Familia alimshauri Tom Hagen kugombea u-governor ili awe kwenye system.
 
Nilikuwa wish ya Mzee Vitto kuwa at least moja ya member wa family awe kwenye system.

Ulimwambia Michae" I never wanted this for You,and I refused to be fooled by those big shots who holds those strings. I wanted you to be the one who holds that,governor Corleone,senator Corleone but we did not had time Michael"
Michael akamjibu," I can handle it,we will get there pop!!
Baada ya Hapo Don Corleone akafa bustanini!!
 
Tell me, what's bothering you pop?

Hapa ndio baba akamfungukia, whoever come with Barzini meeting, is a traitor!
 
Nimesoma novel na kuangalia filamu, novel ni nzuri zaidi.
Narudia tena kusoma novel maana haiishi utamu.!
 
Nilikuwa wish ya Mzee Vitto kuwa at least moja ya member wa family awe kwenye system.

Ulimwambia Michae" I never wanted this for You,and I refused to be fooled by those big shots who holds those strings. I wanted you to be the one who holds that,governor Corleone,senator Corleone but we did not had time Michael"
Michael akamjibu," I can handle it,we will get there pop!!
Baada ya Hapo Don Corleone akafa bustanini!!

Mike alikuwa ni shida nyingine, jinsi alivyowaondoa kina Barzini na Tattaglia on the same time, heshima sana.
 
Mike alikuwa mtu wa visasi sana! Sikuelewa ni kwanini alimkataza Vincent asiwe na mahusiano na binti yake? Wakati demu alikolea kwa mchizi!!
 
Mike alikuwa ni shida nyingine, jinsi alivyowaondoa kina Barzini na Tattaglia on the same time, heshima sana.
Do you think you can fool the corleone?
Barzin is dead,Tattaglia,Curio,Moe green,all are dead.So don;t tell me that you are innocent,it affects my intelligence and makes me very angry.
 
Back
Top Bottom