Desprospero
JF-Expert Member
- Feb 1, 2023
- 1,015
- 2,493
Neno "mama" linawalemaza na kuwaliwaza wengi. Kila mtu anaye mama yake. Hata Samia Suluhu Hassan anaye mama. Neno "mama" linatumika kulainisha watu kuacha kumkosoa Chifu Hangaya.
Sasa niwadokeze tu. Usikiapo Samia akisema "Mimi ni mama". Usidhani na wewe ni mtoto wake.
Watoto wa Samia ni Hawa hapa chini na majina yao yamepangwa kwa digree ya mahaba yake kwao.
1. Prof. Mbarawa (Ujenzi)
2. Jumaa Aweso (Maji)
3. Dotto Biteko (Madini)
4. January Makamba (Nishati)
5. Bashe (Kilimo)
6. Nape (Habari)
7. Bashungwa (Ulinzi)
Mliobaki wote ukiwemo wewe ni watoto wa kambo tu. Acha kumwita Samia mama mwite Rais maana humo kwenye orodha ya watoto 7 ambao Sasa wameunda group la WhatsApp wakijiita G7.