The Great 7 of President Samia Suluhu Hassan are here!

Desprospero

JF-Expert Member
Joined
Feb 1, 2023
Posts
1,015
Reaction score
2,493
Neno "mama" linawalemaza na kuwaliwaza wengi. Kila mtu anaye mama yake. Hata Samia Suluhu Hassan anaye mama. Neno "mama" linatumika kulainisha watu kuacha kumkosoa Chifu Hangaya.

Sasa niwadokeze tu. Usikiapo Samia akisema "Mimi ni mama". Usidhani na wewe ni mtoto wake.

Watoto wa Samia ni Hawa hapa chini na majina yao yamepangwa kwa digree ya mahaba yake kwao.

1. Prof. Mbarawa (Ujenzi)
2. Jumaa Aweso (Maji)
3. Dotto Biteko (Madini)
4. January Makamba (Nishati)
5. Bashe (Kilimo)
6. Nape (Habari)
7. Bashungwa (Ulinzi)

Mliobaki wote ukiwemo wewe ni watoto wa kambo tu. Acha kumwita Samia mama mwite Rais maana humo kwenye orodha ya watoto 7 ambao Sasa wameunda group la WhatsApp wakijiita G7.
 
Mtoto wa kambo mbona Kuna G12 mpaka Sasa? Hao G7 wasijisahulishe af Bashungwa anakuaje Tena????
 
Wazir wa fedha hayupo
We unauliza Waziri wa Fedha mbona huulizi Maliasili na utalii ambaye ni mkwe. Huyo na Mwigu waliondolewa baada ya kuona si wanamikakati ya 2025.
 
Mchengerwa hayupo?
 
Sasa kulikuwa na haja gani kuandika kichwa kwa kiingereza hapo?!......

Watu wafupi bwana!!
 
Sijamuona mwigulu hapo
 
Umesahau mmoja..
👇
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…