soine
JF-Expert Member
- Nov 22, 2010
- 2,113
- 2,329
inatia aibu sana waafrika tunapojigamba kwa mambo ya kijinga kama haya...ebu tupingane kwa maendeleo... sio wazungu wanapotutembelea🙄🙄
Kwa hili la kujigamba kutembelewa hakika halina mantiki kabisa. Mtanzania tulonge na jirani kuthamanisha uchumi wetu. Tujihoji tu thamani ya pesa ya kKenya kwa Tanzania ni kiasi gani? Hatuwezi piga hatua ikiwa tutabakia kujilinganisha na jirani zetu. a ukiona unajilinganisha basi it is obvious kuwa uko chini na unajaribu tu kupiga kelele nawe utambulike kuwa upo.
Kenyans are aggressive huo ndio ukweli, lugha ya Malkia inawabeba but nao wanafanya kazi. Wanajua kujigamba hasa Wakikuyu but they have done something else tangible. Let us try to do on our own way my brothers and sisters.