The Great Beloved Tanzania Leads in E.A and 4th in Africa by being visited by sitting US Presidents, little lazy Kenya Lags behind

inatia aibu sana waafrika tunapojigamba kwa mambo ya kijinga kama haya...ebu tupingane kwa maendeleo... sio wazungu wanapotutembelea🙄🙄

Kwa hili la kujigamba kutembelewa hakika halina mantiki kabisa. Mtanzania tulonge na jirani kuthamanisha uchumi wetu. Tujihoji tu thamani ya pesa ya kKenya kwa Tanzania ni kiasi gani? Hatuwezi piga hatua ikiwa tutabakia kujilinganisha na jirani zetu. a ukiona unajilinganisha basi it is obvious kuwa uko chini na unajaribu tu kupiga kelele nawe utambulike kuwa upo.

Kenyans are aggressive huo ndio ukweli, lugha ya Malkia inawabeba but nao wanafanya kazi. Wanajua kujigamba hasa Wakikuyu but they have done something else tangible. Let us try to do on our own way my brothers and sisters.
 

Ongezea na hizi


1987 first visit





1988 Akarudi tena




Barrack and Michelle 1992 Kogelo Kenya , newly wedds -Honeymoon yao ikafanyika Lamu











babake Obama


Babake Obama alikua miongoni mwa generation ya Kwanza ya wakenya walio tumwa na Serekali ya Kenya kwenda kusomea ng'ambo kupata ujuzi... Enzi za kina tom Mboya






Obama na babake mzawa na mamake













------
Watu waendelee kuringa kwamba Obama(mkenya) alitembelea nchi yao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…