The Great Park - Tabata Segerea

napenda sana kuenjoy ila bar za tabata hazinaga classic bata kama bar za wilaya ya kinondoni na ilala.. ukienda element au tippsy unaona ladha tofauti ya watu tofauti na tabata huku bia na soda ni zile zile
 
Lini unaenda nikuunge mkono mkuu
 
Nasikitika kuona huku kwetu Viroba vimezuiliwa, wakati sehem zingine vinaendelea kuuzwa kama hivi...[emoji45] [emoji45] [emoji45]
 
Ila huu mji watu wanakula maisha nimetoka hapo Liquid bar kurasini, mtu nyomi balaa hata sehemu ya kusogeza mguu hakuna, watu ni bia na nyama tu
 
Nasikitika kuona huku kwetu Viroba vimezuiliwa, wakati sehem zingine vinaendelea kuuzwa kama hivi...[emoji45] [emoji45] [emoji45]

Tatizo kuna pombe haramu na pombe halali. Hilo ndio tatizo, ila kama zote zingekuwa ni haramu au zote ni halali uwiano ungekuwepo mkuu.

Ahsante.
 
Nimetoka 40/40 now....way overrated...nilichokuwa nasikia na nilichokiona tofauti. Namuunga mkono aliesema bars tbt hazijafikia kiwango cha upande wa kinondoni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…