Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lini unaenda nikuunge mkono mkuunapenda sana kuenjoy ila bar za tabata hazinaga classic bata kama bar za wilaya ya kinondoni na ilala.. ukienda element au tippsy unaona ladha tofauti ya watu tofauti na tabata huku bia na soda ni zile zile
😀😀😀Mkuu tayari upo nzutu,nenda home kapumzike!
kesho utakosa hata senti ya kongoro!
Lini unaenda nikuunge mkono mkuu
Nasikitika kuona huku kwetu Viroba vimezuiliwa, wakati sehem zingine vinaendelea kuuzwa kama hivi...[emoji45] [emoji45] [emoji45]
Mwache kwanza wampune zote,na ukishalewa vitoto vyote unaviona visuuMkuu tayari upo nzutu,nenda home kapumzike!
kesho utakosa hata senti ya kongoro!
Na totoz za kumwaga, liquid ni chimbo zuri sana la mafisi kwa ukanda huu!Ila huu mji watu wanakula maisha nimetoka hapo Liquid bar kurasini, mtu nyomi balaa hata sehemu ya kusogeza mguu hakuna, watu ni bia na nyama tu
Na totoz za kumwaga, liquid ni chimbo zuri sana la mafisi kwa ukanda huu!
Upo hapo? Mpaka sasaPeople kibao. Jinsia ingine ndo usiseme
Nipo mpanda katavi leo lakini ndio maeneo yangu hayo ya kujidai.People kibao. Jinsia ingine ndo usiseme