The great the distance the great the love!

Mathias BM

Member
Joined
Jun 28, 2012
Posts
21
Reaction score
3
Niliwahi kumnasa mwanasaikolojia fulani anasema"the great the distance the great the love" akimaanisha kwa tafsiri isiyo rasmi kuwa, jinsi wapenzi wanavyoweza kutengeneza umbali flani kati yao ndivyo mapenzi yao huongezeka maradufu. Ninaposema umbali namaanisha mazingira yafuatayo;
1. Epuka kumpigia mwenzi wako simu mara kwa mara, mfn asubuhi, mchana, jioni, usiku n.k hali kadhalika sms. Hali hiyo ya mara kwa mara itafamfanya mwenzi kuzoea mazungumzo yako, fikra zako na hivyo kupunguza uthamani.
2.Epuka kuwa katika hali ileile kila siku, mfn unaonesha kuchangamka sana, kukasirika, kufurahi, utani, kubembeleza(soft language) umakini( overseriousness) n.k. Hii itamfanya kuizoea hali hiyo na kukuona wa kawaida kwa kuto-experience mabadiliko. Jaribu kuwa dynamic.
3. Epuka kukaa au kutembea na mwenzi wako kila wakati. Kukaa au kutembea na mwenzi wako ni muhimu katika mahusiano lakini isiwe ni kila wakati na kila mahali. Kwa kufanya hivyo utamwongezea mwenzi wako hisia zaidi za upendo.
....Zitaendelea nxt tym in II
 
Hiyo ni namna moja ya kuangalia mahusiano.
 
Sometimes we need to let it go in order to experience the difference..
 
There is a reality! ila ya kuna watu wengine usipopiga simu ndiy unaachwa. Mapenzi bwana, ni kizungurukamoto haya fomula!! Let it go
 
100% ukweli mtupu! Nina experience na mambo hayo!
 
Niliwahi kumnasa mwanasaikolojia fulani anasema"the great the distance the great the love" akimaanisha kwa tafsiri isiyo rasmi kuwa, jinsi wapenzi wanavyoweza kutengeneza umbali flani kati yao ndivyo mapenzi yao huongezeka maradufu. Ninaposema umbali namaanisha mazingira yafuatayo;
1. Epuka kumpigia mwenzi wako simu mara kwa mara, mfn asubuhi, mchana, jioni, usiku n.k hali kadhalika sms. Hali hiyo ya mara kwa mara itafamfanya mwenzi kuzoea mazungumzo yako, fikra zako na hivyo kupunguza uthamani.
2.Epuka kuwa katika hali ileile kila siku, mfn unaonesha kuchangamka sana, kukasirika, kufurahi, utani, kubembeleza(soft language) umakini( overseriousness) n.k. Hii itamfanya kuizoea hali hiyo na kukuona wa kawaida kwa kuto-experience mabadiliko. Jaribu kuwa dynamic.
3. Epuka kukaa au kutembea na mwenzi wako kila wakati. Kukaa au kutembea na mwenzi wako ni muhimu katika mahusiano lakini isiwe ni kila wakati na kila mahali. Kwa kufanya hivyo utamwongezea mwenzi wako hisia zaidi za upendo.
....Zitaendelea nxt tym in II
1 is no
2 and 3 are yes

Weakness in communication it express changes in other side.
 
i think what he meant is that if the two of you are very far apart and what is between you lasts or grows stronger the your love is great..
not that you should stay away from each other!
although absence makes the heart grow fonder it may not necessarily strengthen your relationship..(speaking from experience)
 
Back
Top Bottom