Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
Nilishakupiga knock out usijikweze
Nundu cham cham ,,,Reina anataka kutoa roho za watu humu ,,,halaf eti mtu akikosolewa oooh ana maadui wengi humu ,,maadui my foot watoto wa kiswahili tabu sana,, wanapenda kusifiwa tu , hovyooYou are delusional!
Reina tu anakugaragaza seuze mimi?
FOH.
Kwa miaka yangu kadhaa hapa JF naona watu wanamshambukia NN si mchezo.
Member wengi kuwaza critically kwenye mijadala hawajazoe. Labda kwa sababu ya waliposoma au kushindwa tu kufijunza mambo.
Sasa huyu NN yeye anakubana kwa kutaka hoja (hata kama ni jambo la hivihivi tu)....hapa ndiyo tatizo linaanzia.
Wengine wanajioa inferior wakiona mtu anachangia au anachambua jambo kwa weledi wa juu.
Ni hulka fulani hivi ya binadamu.
Bahati mbaya Nyani Ngabu anatambua hasa na ndiyo maana anakanyaga mule mule. Lazima utajihisi mnyonge
Ni vijimambo tu wakuu....muhimu watu waendelee kujifunza.
Alafu ngabu ameshika akili zenu...madem bana....sijakwaruzana na mtu yyte....tulipishana maoni........kumbe yy kabeba kichwani mwake.....mpaka leo..dont tek me serious ...I am just a drunker....and ...nothing else.......ila ukija vibaya nakupa za uso....na sipendi watu wenye dharau.....yy ananichukulia mimi ni adui ....hayo mambo ya huko nyuma nilishasahau...nacomment kwa wakati uliopoHata mimi nimeshangaa maana watu kibao wametajwa kwenye huu uzi lakini ulipotajwa wewe ndo imekuwa nongwa...
Ni wazi wewe ni tishio kwake[emoji23]
Cc MondrayHii lugha nani antafsirie?
Mtu chake bwana...
Akyanani kuna watu wana wivu mpaka matunduni...khaaa
Siongei mengi ila binadamu ni kiumbe cha ajabuu sana..
Yaani mtu kama hauappreciate Kazi ya The Bold ni una miwivuu karibia matundu yote ya mwili[emoji24] [emoji24] [emoji24]
Embu toeni ujinga wenu hapa. Mbona mnapenda kujipa kiki za kijinga?[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Mpenzi wangu wengine haya mambo tumezoea.
Tokea tumejiunga huku ni kuchukiwa hadi leo hii,bora hata mimi nina roho nyepesi...huyo Bold ni jiwe kabisaaaaa.
Ukimponda unampa hasira ya kufanya wonders hehehe
Hahahaa sawa mkuu[emoji23]The bold ana kipaji kikubwa sana na story zake ni nzuri mno ila hajafikia kuwa intelligent.
Kuna wakuu wawili humu ndani toka nijiunge jf , naona ndio ninaweza kuwaita intelligent.
1.mshana jr ,huyu jamaa yeye huwa anaandika vitu ambavyo viko ndani ya ubongo wake na threads zake wengi tumeweza kujifunza mengi .
2.Ontario huyu ni kijana mwenzetu mdogo tu, lakini ubongo wako uko level za wazee wenye hekima zao. Huyu jamaa yeye kaispire vijana na wazee wengi tu, kufikia malengo yao na anauthubutu wa hali ya juu.
Hawa wakuu mimi ndio maweza kithubutu kuwaita ma intelligent wa Jf nzima
Lara 1, ndio yule wa igweeeeee km ndiye basi mkuu wewe ni mgonjwaNinamuaprishiate the bold,ana kipaji kikubwa na ni intelligent. ila mtu mwenye high IQ kuliko.wote humu jf ni Lara1.kwenye mambo ya dini mtu mwenye high IQ zaidi ni Max Shimba na sijui yukowapi.pia Ontario yupo vizuri anajitahidi.
hiyo signature yako 'watch it, not to that extent'yes we exist
we like him
Yeah ni kweli Mimi mwenyewe kuna watu huwa wananiita intelligent[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] wakati najiona kawaida tu.Hahahaa sawa mkuu[emoji23]
Intelligence ni relative term. Wewe unayemwona intelligent inawezekana unamwona hivyo kwa uhaba wako tu wakujua mambo.
Kwahiyo unamwona superior ukijilingalisha lakini wala si brilliant kiivyo
Ipo hivyo.Yeah ni kweli Mimi mwenyewe kuna watu huwa wananiita intelligent[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] wakati najiona kawaida tu.