Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
Absolutely...
So you got your game-face on and ready to roll?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Absolutely...
Yeah...but out of here[emoji6]So you got your game-face on and ready to roll?
Kwenye huu uzi umekuja kufanya nini??....mleta mada kwa mtazamo wake....ameamua kuleta mada ya kumsifu The Bold.....kwamba ni intelligent person ....which is good.....ww kama haumkubali pita vile......sio unakuja hapa kana kwamba watu wapo kwenye mashindano ya kuchagua nani zaidi....that is a crappy....stupid ....otherwise kafungue uzi wako .....hata mjinga ana wajinga wake wanaomuona ana akili...ni mtazamo kulingana na upeo wa kila mtuKwangu mimi intelligence ya mtu naiangalia kupitia nyanja mbali mbali kama common sense ya mtu (na hii wengi hawana), uwezo wa kuelewa jambo haraka, umakini katika kuandika, umakini katika kuelezea hoja mstari kwa mstari, flexibility, wigo mpana wa ufahamu wa mambo tofauti tofauti...nk, nk, nk
Na kwa hayo yote na mengine ambayo sijayataja, kwangu mimi Nyani Ngabu is the man.
Teh teh teh....
Najua wengi wananikubali hata kama ni kimya kimya au kwa shingo upande.
Baadhi yao [ma fans wangu] huja na ID mbadala wakiona nimeshusha utirio uliowakuna. Sasa sijui huwa wanaona noma kunipa big up na IDs zao zilizozoeleka....ah wanajua wenyewe!
İla hapo kwenye ustar sikubaliani nawe.
Lara hawezi kumzidi living legend bana.
Hivyo mimi nitoe kwenye orodha.
Mimi nipo kwenye Mt. Rushmore ya JF.
Ukiangalia kwenye kamusi ya synonymes kuhusu JF, entry ya kwanza ni Nyani Ngabu
Hahahaaaa....natania tu bana. Maana kuna watu wapo gullible sana humu...
Upupu mtupuKwenye huu uzi umekuja kufanya nini??....mleta mada kwa mtazamo wake....ameamua kuleta mada ya kumsifu The Bold.....kwamba ni intelligent person ....which is good.....ww kama haumkubali pita vile......sio unakuja hapa kana kwamba watu wapo kwenye mashindano ya kuchagua nani zaidi....that is a crappy....stupid ....otherwise kafungue uzi wako .....hata mjinga ana wajinga wake wanaomuona ana akili...ni mtazamo kulingana na upeo wa kila mtu
Tuko chungu kimojaNamkubali sana mkuu Chief Mkwawa!
Kwangu mimi intelligence ya mtu naiangalia kupitia nyanja mbali mbali kama common sense ya mtu (na hii wengi hawana), uwezo wa kuelewa jambo haraka, umakini katika kuandika, umakini katika kuelezea hoja mstari kwa mstari, flexibility, wigo mpana wa ufahamu wa mambo tofauti tofauti...nk, nk, nk
Na kwa hayo yote na mengine ambayo sijayataja, kwangu mimi Nyani Ngabu is the man.
Sasa mimi na wewe nani mwenye wivu? Kwa hiyo ulitaka watu wote wamtambue the bold pekee?Nyinyi majoka ya mdimu.....wivu umewajaa....
Hayo ni maoni yako....alafu usinilazimishe.....nikubaliane na wewe....kwa upande wako huyo jamaa anaweza kuwa intelligent mimi sipingi hilo ndio upeo wako ulipofikia .....pili uwe muelewa....hata kwenye kundi la mataahira....atakayeweza kwenda kukojoa chooni badala ya kujikojolea nae ni intelligent...ukielewa haya....unafunga bakuli lako na kupita vileSasa mimi na wewe nani mwenye wivu? Kwa hiyo ulitaka watu wote wamtambue the bold pekee?
Na mbona members wengine wamewasifia kiranga, Ontario, alwatan na wengine hujafuka moshi mdomoni mpaka ulipoona nimemtaja NN?
Unamuonea wivu eh... Jinyonge
Nyani Ngabu is the most intelligent man in the whole of jf....
Karibu tena
Sasa mimi na wewe nani mwenye wivu? Kwa hiyo ulitaka watu wote wamtambue the bold pekee?
Na mbona members wengine wamewasifia kiranga, Ontario, alwatan na wengine hujafuka moshi mdomoni mpaka ulipoona nimemtaja NN?
Unamuonea wivu eh... Jinyonge
Nyani Ngabu is the most intelligent man in the whole of jf....
Karibu tena
Wewe ni mjinga sana...
Hivi mtazamo wa mtu mwingine unawezaje kukuumiza kiasi hicho?
Nimetoa mtazamo wangu kuhusu mtu nayeona ni most intelligent man in JF. Sasa wewe povu lote la nini?
Kama wewe kwako Nyani Ngabu sio most intelligent man in JF...then why do u care about my opinion? Unless my opinion is your reality and u can't stand it because u are so envious
You are simply a fool...
Nilishakupiga knock out usijikwezeNgoja nikupe muhtasari wa usuli wa huyo jamaa.
Huyo jamaa nimeshakwaruzana naye mara kadhaa humu na kama ilivyo kawaida yangu, nikamlambisha mchanga.
Simjui na hanijui lakini nahisi kuwa 'hanipendi' [ile ki JF JF].
Hivyo alivyoona umeniongelea naamini hakupenda kabisa.
Na kama uliona, hapo nyuma kuna sehemu aliandika na kuniponda mimi kuwa sijui ni muosha wazee US [only if he knew..hahahaa] na blah blah blah.
Ndo maana unaona anatoa hilo povu analolitoa na kakomaa kuhusu mimi na si hao wengine waliotajwa.
Kwa hiyo tatizo ni mimi.
Kama ukiniponda atakupenda na 'Like' atakugongea.
Ila ukinisifia atafanya kama anachokifanya.