The Greatest JF intelligent man

Wakati nipo dogo nilikuwa naenda hapo kucheza na au niseme kuwatazama huku nikimsubiri maza atoke kazini turudi nyumbani.

Nilikuwa nawaona ni kivutio kizuri sana.

Siku hizi sijui hata kama wapo tena.
Sisi wengine tulikuwa tukipitishwa kuwaona na our seniors ktk kukua kwetu. Unasubiri mpaka achanue mabawa ndo uridhike.
 
Mkuu authentic,

See what you have done?? All HELL is breaking loose... Hahahahah

Inabidi nisome comments nibaki nacheka tu!!

Anyways, nyuma ya kila mtu mmoja anayekuchukia, kuna watu mia moja wanaokupenda na kukuunga mkono!!

In this life, you don't have to prove nothing to nobody, except YOURSELF.!! If you haven't done that by now, it ain't gonn' never happen...

Be yourself!
Do what you love!
Have a class!
Stay humble!
that little light of yours...let it shine...

THEY WANT YOU TO STOP... DONT EVER ALLOW THEM TO HAVE THAT KIND OF PLEASURE... KEEP DOING IT.. AND THEN DO IT AGAIN.. AND THEN AGAIN AND AGAIN!!


The Bold
 
Monstgala huyu jamaa ndo alifanya niipende jf
 
Umenena vyema kabisa,kula tano ya ujazo[emoji122] [emoji122] [emoji109] [emoji109] [emoji109]
 
Asante........maneno ya ukweli haya
 
Taasisi hazina meno. Tataki (udsm) wanajitahidi kidogo wametafsiri vitabu kadha wa kadha shida inakuja utumizi wa kiswahili uko limited sana ktk elimu. Siku itakapotumika kama lugha ya kufundishia sekondari itakuwa vizuri.
Lkn kina Kadege hawataki kitumike eti hakina msamiati sasa kitapataje msamiati wakati hamtaki kukitumia?
 
Lkn kina Kadege hawataki kitumike eti hakina msamiati sasa kitapataje msamiati wakati hamtaki kukitumia?
Tunatakiwa kumuelewa Kadghe vizuri. Hata ukisoma Utafiti wake anataka code switching as medium of instruction unajiuliza anatka utambulisho gani kwa vizazi vijavyo. Lugha ni utambulisho. Yeye na watoto wake ni wanufaika wa mfumo Kingereza ktk elimu. Vip kuhusu millions of Tanzanian children?
 
Hakuna nchi iliyoendelea from scratch kwa kutumia lugha ya kigeni katika elimu.
 
Sawa kwake yeye anufaike ni Kiingereza lkn ni % ngapi ya watanzania wanakihitaji na kukitumia kila siku ktk maisha yao ya kila siku ni wachache sana.......kwa hiyo point yake hains mashiko
 
Sawa kwake yeye anufaike ni Kiingereza lkn ni % ngapi ya watanzania wanakihitaji na kukitumia kila siku ktk maisha yao ya kila siku ni wachache sana.......kwa hiyo point yake hains mashiko
Hata hivyo tunahitaji kujifunza lugha nyingi. Lakini suala ni pale lugha ya kigeni inapotumika ktk kufundishia inazuia uelewa then anakuja msomi kuitetea nashindwa kumuelewa
 
Hata hivyo tunahitaji kujifunza lugha nyingi. Lakini suala ni pale lugha ya kigeni inapotumika ktk kufundishia inazuia uelewa then anakuja msomi kuitetea nashindwa kumuelewa
Umenena vyema kabisa,wasomi wetu si ndo hao kina Poropesa Lipumbavu umategemea nini
 
una majivuno. hutakaa ufanikiwe kwenye maisha yako
 
mkuu Al-watan na Kiranga ni mtu mmoja
 
Kiranga ni the best...kuna wakati alikuwa akilianzisha kwenye thread basi nitamfuatilia hata comments zikifika 1k..sijui kapotelea wapi huyu mtu au ana Id nyingine??
Mkuu listi yako inafanana na yangu kwa asilimia 99.
 
Kiranga is a true genius. Ana produce new ideas

Huyu the bold anadesa wikipedia na documentaries za Histroy Channel mnamwita intelligent

Wabongo kuwadanganya ni rahisi sana
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] koment kubwa sanaa hii
 
Comment ya mwaka Jf [emoji23][emoji23][emoji23],,,achukiwe Dangote ana pesa zake na kwenye list yupo ,sasa hao nao hawajiamini eti wanachukiwa hhhhaaa nicheke mie
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…