The Greatest JF intelligent man

Kuna Tabia imezuka JF ya kuambiwa ukweli halafu mtu anakimbilia ngao ya uhater kujikinga.

D anakusalimia.
Tena huyu bold namshusha kabisa yaan akipewa challenge kidogo tu anasema anachukiwa kwa kipi labda ,,mawazo potofu kabisa

Nipo nimeitikia salamu
 
Huu mjadala nimeusoma karibia wote japokuwa kuna baadhi ya post nimezipuuza kwakuwa nimeamua kufanya hivyo....

Wakati nikiendelea kusoma huu mjadala nimejiuliza baadhi ya mambo na lililokubwa ni sababu ya mtu kuanzisha mada yoyote hapa? Siajua kama nimepata jibu stahiki la swali hili lakini "ninadhani huenda nimelipata...

Swali hilo nadhani litafanana sana na mtu akiuliza sababu ya mtu kujibu chochote kwa kuandika "replay" hapa JF kwenye mada yoyoye au mjadala wowote...

Hapo ndipo ninadhani pameonesha utelezi na utepetepe wa mfumo mzima wa kufikiri wa wengi waliochangia hapa....

Kimsingi sijaona kilichofanya ikawa kama ilivyokuwa na inawezekana ilipaswa iwe kinyume kwasababu nimedhani kinyume kwasababu ambazo ninadhani ni sawia kabisa....

By the way, The bold ni mtu wa pekee sana mwenye yake ambayo hana yoyote....

Sitaki kuleta giza penye mwanga au kuleta mwanga penye giza...

"E kituju kirakenya kirajuruma"
 
You have my compliment brooh!

Keep hiking to the top!
 
Kwa mbali naona kunakuchanga mada hapa, kuna mabingwa wa kuandika post zao kwa lugha ya kiingereza kwa kutumia misamiati migumu, na wale wachambuzi makini wa hoja, na wale wataalamu wa kuandika thamthilia zenye mvuto, watafsiri wa .....na kadhalika na kadhalika! Intelligent kwangu, ni someone who has made a break through in a certain arena !
 
Kuna vipepeo weusi


Huo uzi ni htriii mkuu izo zote mtoto

Karibu kwenye grup la simulizi za bold
 
nyie mnaomponda The bold na nyie si mtafsiri kama yeye kama ni kazi rahisi... The man has talent ukisoma story zake mpaka unahisi unaangalia movie tena ile ya 3D.. ni vile siku hizi sina muda wa kufatilia stories ila he is doing a great work

keep it in brother...
 
Hawa wote mliowataja mimi nawapa salute...lkn Jf imevamiwa na mijitu inakuja na isshue zao za kibangibangi

Wanafanya JF isiwe ya hao wote mliowataja. To be honest napenda Jf KWA SABABU YA HAWA JAMAA...kule Habari mchanganyiko wapo, Law wapo, Jf doctor wapo, Michezo wapo, Elimu wapo, kila sehemu wapo mimi nawapo 😉 kubwa nawaheshim sana.

Tuisaidie jf kwa kuwa mnaona habari zake
 
Kulikuwa na mkuu anaitwa Halisi alikuwa analeta nyeti kabla hazijaingia mtaani dahh mkuu uko wapi?Kuna Mzee ES field marshal....wapi mkuu?Mzee Mwanakijiji naye ni mkongwe aliyetingisha JF mpaka sirikalo....tehe tehe amekuwa mpooole siku hizi.Kiranga pia ni noma.....Kuna mzee Lunyungu....wapiiiii.Dahhh wengi
 

He is good,isipokuwa kina shigongo na wenzie wanacopy makala zake humu Na kupaste kwenye magazati yao
 
Kiranga is a true genius. Ana produce new ideas

Huyu the bold anadesa wikipedia na documentaries za Histroy Channel mnamwita intelligent

Wabongo kuwadanganya ni rahisi sana

Mbona ameweka wazi kuwa mhusika ni mzuri katika jambo fulani? Basi amekosea msamiati. Alitaka kusema "the most talented in narrating intelligence stories". Kama kuna mwingine JF unayemfahamu ni mzuri kwa kuhadithia mambo ya kiintelijensia ungemtaja tu. Kama ni wewe useme tu na uonyeshe kipaji chako. Wahadithiaji wazuri hapa JF wapo, kama Lara1 na Mentor. Hawa tofauti na The Bold ni watunzi na wanajua kuhadithia pia. Mimi huyu The Bold nilisoma simulizi yake moja baada ya kuona post ya kumsifia kama hii (huenda ni mkakati wao wa kupata wasomaji). Post ilikuwa inamhusu Pablo niliyekuwa nasikia habari zake nikiwa mtoto na nikatokea kumpenda. Nilipoanza kusoma sikunyanyuka mpaka nikamaliza. Sijui kama alichohadithia ni cha kweli au cha uongo ila kilikuwa kimepangiliwa vizuri kikavutia. Swala si kuwa alidesa, bali aliweza kuhadithia vizuri alichokidesa. Kuweza kupangilia maneno na mawazo mpaka umvutie msomaji si kikombe cha chai kwa kila mtu. Naamini katika nadharia ya "multiple intelligence". Samaki akishindwa kukwea mti nyoka akaweza huwezi kusema samaki ni kilaza. Mimi binafsi siwezi kuhadithia hata tukio dogo. Nitaweka yaani yaani nyingi lakini mimi si kilaza, kwa hiyo nikiona mwenzangu anahadithia bila yaani yaani namuona kichwa wa kuhadithia, kwa hiyo ni mjanja eneo hilo.
 
Bongo kuna watu wanavipaji kila kitengo,lakini kuna watu wanavipaji vya kupondea wenzao yaani sijui wao walifikiri kuwa sisi hatuoni mapungufu ya hao tunaowasifia kwa baadhi ya mambo yao mazuri.Daah Bongo in real sense kuna wengi wenye vipaji vya kupondea watu.Big up "The bold"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…