Now you see my point. You are always right. Always right. Never wrong.
Off course that is elementary thinking inside a grown up.
Alakhy [HASHTAG]#AlWatan[/HASHTAG] [HASHTAG]#Kiranga[/HASHTAG] [HASHTAG]#NyaniNgabu[/HASHTAG] [HASHTAG]#MzeeMwanakijiji[/HASHTAG] [HASHTAG]#FMES[/HASHTAG] [HASHTAG]#SheikhMuhammad[/HASHTAG] Said,Hakika nyie ni malilulalbab ( Waja wenye akili) , [HASHTAG]#Thebold[/HASHTAG] ni mzee wa kufasiri matukio kutoka lugha ya malkiaauthentic
Al-Watan ni mtumwa dhaifu anayepapasa kutafuta mwanga ndani ya pango lilojaa kiza.
Ninapochelea kukwaza na kutaka kujidodosa, mnanipa moyo kwamba kuna watu waona ninayosema yastahili heko.
Y'all far too kind.
At least you got my point. Just swallow the fact. Act and behave like a man, unless otherwise.Teh teh teh...you must really be butthurt to be foaming at the mouth like that!
And just to show you how fcuked up your logic is, you are doing the same thing that you are accusing me of!
You think your opinion of me is right. In other words you think you are so right about me.
In psychology, that is called 'projection'.
You are unconsciously attributing your own characteristic to me while denying its existence in you.
But I don't expect you to understand that either....
kaka yu wapi [HASHTAG]#FMES[/HASHTAG], Enzi zile JF unaletewa za moto toka magogoni,Teh teh teh...you must really be butthurt to be foaming at the mouth like that!
And just to show you how fcuked up your logic is, you are doing the same thing that you are accusing me of!
You think your opinion of me is right. In other words you think you are so right about me.
In psychology, that is called 'projection'.
You are unconsciously attributing your own characteristic to me while denying its existence in you.
But I don't expect you to understand that either....
At least you got my point. Just swallow the fact. Act and behave like a man, unless otherwise.
Stop being a spoilt brat.
kaka yu wapi [HASHTAG]#FMES[/HASHTAG], Enzi zile JF unaletewa za moto toka magogoni,
Na watz tulivyo wavivu wa kufuatilia matukio,matokea yake namna zetu za kufikiri hazivuki mipaka kile tunachopokea/kupewa.Umenena haswaaa
[emoji15] [emoji15]Watanzania bhana...kazi kusifia wanaume wenzao tu....Hii ndo Tanzania ya viwanda, Maghufuli ana kazi sana...(kama we ni mwanamke comment yangu haikuhusu)
hahaha hakika ya kale ni dhahabu ila kaka [HASHTAG]#Ngabu[/HASHTAG] upo vizuri. [HASHTAG]#longlivJf[/HASHTAG]Hahaa...that was way back when...
Yupo tu humu...ila siku hizi naona hashiriki sana mijadala ya humu.
Hahaha, mkuu umenikuza sana kuniweka na hao nguli wa maakuli ya akili zenye adili.Alakhy [HASHTAG]#AlWatan[/HASHTAG] [HASHTAG]#Kiranga[/HASHTAG] [HASHTAG]#NyaniNgabu[/HASHTAG] [HASHTAG]#MzeeMwanakijiji[/HASHTAG] [HASHTAG]#FMES[/HASHTAG] [HASHTAG]#SheikhMuhammad[/HASHTAG] Said,Hakika nyie ni malilulalbab ( Waja wenye akili) , [HASHTAG]#Thebold[/HASHTAG] ni mzee wa kufasiri matukio kutoka lugha ya malkia
Kwa Werevu,Wajinga, Mahasidi,Chakubimbi na Mazuzu twachota yaliyo mema kustawisha fikra zetu,hakika Kila mja ni mwalimu wa mwenziweHahaha, mkuu umenikuza sana kuniweka na hao nguli wa maakuli ya akili zenye adili.
Nikionekana mjuzi ni kwa sababu nimevuna kwa wengi, kuanzia ahali zangu ghali mpaka mahasidi wenye spidi.
Na kama alivyosema Deborah Kerr katika filamu aliyocheza mwaka 1956 na Yul Brynner "The King And I", akinukuu methaliza zamani, hata walimu hufundishwa na wanafunzi wao.Kwa Werevu,Wajinga, Mahasidi,Chakubimbi na Mazuzu twachota yaliyo mema kustawisha fikra zetu,hakika Kila mja ni mwalimu wa mwenziwe
Hakika mkuu [HASHTAG]#YouNailedIt[/HASHTAG]Na kama alivyosema Deborah Kerr katika filamu aliyocheza mwaka 1956 na Yul Brynner "The King And I", akinukuu methaliza zamani, hata walimu hufundishwa na wanafunzi wao.
It is better for this thread to be posted....it is better this thread to be posted...
Repeating the same mistakes, thinking you are better than any other, and full of pride.Nope, don't flatter yourself.
You had no point to begin with.
What you have is an opinion [of me]. You are entitled to that opinion.
But I know for a fact that your opinion of me is not my reality.
It's not my reality because you don't know me [although you may think you do..which is a sign of hallucination].
Repeating the same mistakes, thinking you are better than any other, and full of pride.
And now..... You are just crying like a baby. The same baby you are. Crying on and on, dispensing words via your key board/pads. That key board must be hurting inside.
Bravo, great thinker. Bravo.
You are truly several cuts above me. That's the reason you loathe being corrected.That's just your imagination.
You are not even making sense.
You clearly can't go toe to toe, point for point, and round by round with me and that's why you are resorting to these disjointed ramblings.
You probably can't even comprehend what you are writing.
You are in over your head...I'm several cuts above you.