Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii lugha nani antafsirie?
Kuna kitu watanzania wengi tunakosa, ambacho ni Taarifa, mtu ambaye anakosa taarifa anajikuta yupo shimoni muda wote.To be honest intelligence of our beloved the bold is limited to what he writes in the thread which are not product of his own creativity but he might be copying from other global sources.
The bold is the best and most intelligent writer in JF. I think this is the scope of his intelligence.
Because I have never seen him participating in logical and critical thinking based discussions I won't say anything beyond what I have seen.
I wish one day to have that superintelligence in writing things as the bold is doing.
Kiranga, was the best also
Mkuu listi yako inafanana na yangu kwa asilimia 99.Hapa JF aliwahi tokea mtu mwenye uwezo mkubwa sana wakufikiri......si mwingine ni mkuu Kiranga.
Mwingine mwenye uwezo mkubwa wa kufikiri ni mkuu Nyani Ngabu.
Nafahamu Nyani Ngabu wakatimwingine anaweza kufanya mambo mengi ya utani tu laini huyu jamaa anauwezo mkubwa
Pia member anayeitwa Deception (sijui yupo wapi siku hizi) naye anaweza kujenga hoja sana.
Mwingine ni mkuu ONTARIO anaweledi mzuri kwenye business na ujasiriamali. Pia anaweza sana kusimulia tukio fulani kwa weledi
Member mwingine ni Al-Watan. Huyu anauwezo mkubwa kufikiri logically. Aina yake ya kufikiri ni kama Kiranga japo yeye hashiriki sana mijadala hapa
Pia kwenye hii list yangu namsifu The Bold anakipawa cha kusimulia makala za kijasusi anazozipata kwa msaada wa mtandao
Update
Aaaah nimemkumbuka my brother Dan Copper. Huyu yupo vizuri upande wa celebrity forum. Hususani muziki wa majuu. Zamani alikuwa anajiita Sergio Paulo...
Kwa upande wa siasa mkuu barafu nakusifu.
Hao ni baadhi, wapo wengi hapa JF nao si haba. Tunajifunza na kufurahia hoja na mada zao
Mi mzima best... Hata sijui niko jukwaa ganiHahahaaa itakua umepotea jukwaaa. Mzima?
He isn't in this forum.......Namkubali sana mkuu Chief Mkwawa!
Umenena haswaaaKuna kitu watanzania wengi tunakosa, ambacho ni Taarifa, mtu ambaye anakosa taarifa anajikuta yupo shimoni muda wote.
Kwa upande wangu jamaa sio intelligent ila anatafsiri tuu informations ambayo zipi online tayari zimejaaa kwa lugha ya Kiingereza na anaiweka kwa kiswahili then analeta hapa.
Napenda nimpongeze kwa juhudi hizo na awe anakumbuka to acknowledge source. Itapendeza na kumuongezea heshima zaidi.
Salute kwako mkuu The Bold, komaa unaeleweka vyema.
Cc ONTARIO Al-Watan Nyani Ngabu KirangaHapa JF aliwahi tokea mtu mwenye uwezo mkubwa sana wakufikiri......si mwingine ni mkuu Kiranga.
Mwingine mwenye uwezo mkubwa wa kufikiri ni mkuu Nyani Ngabu.
Nafahamu Nyani Ngabu wakatimwingine anaweza kufanya mambo mengi ya utani tu laini huyu jamaa anauwezo mkubwa
Pia member anayeitwa Deception (sijui yupo wapi siku hizi) naye anaweza kujenga hoja sana.
Mwingine ni mkuu ONTARIO anaweledi mzuri kwenye business na ujasiriamali. Pia anaweza sana kusimulia tukio fulani kwa weledi
Member mwingine ni Al-Watan. Huyu anauwezo mkubwa kufikiri logically. Aina yake ya kufikiri ni kama Kiranga japo yeye hashiriki sana mijadala hapa
Pia kwenye hii list yangu namsifu The Bold anakipawa cha kusimulia makala za kijasusi anazozipata kwa msaada wa mtandao
Update
Aaaah nimemkumbuka my brother Dan Copper. Huyu yupo vizuri upande wa celebrity forum. Hususani muziki wa majuu. Zamani alikuwa anajiita Sergio Paulo...
Kwa upande wa siasa mkuu barafu nakusifu.
Hao ni baadhi, wapo wengi hapa JF nao si haba. Tunajifunza na kufurahia hoja na mada zao
Nundu cham,nundu ndani ya instagramDah mbeba maboksi najua watu wanamkubali sana....hata kama ni kimya kimya....😀.
İla hutakiwi kusema unamkubali mbeba maboksi.....usije ukaamsha mashetani ya watu bure.
Hapa JF aliwahi tokea mtu mwenye uwezo mkubwa sana wakufikiri......si mwingine ni mkuu Kiranga.
Mwingine mwenye uwezo mkubwa wa kufikiri ni mkuu Nyani Ngabu.
Nafahamu Nyani Ngabu wakatimwingine anaweza kufanya mambo mengi ya utani tu laini huyu jamaa anauwezo mkubwa
Pia member anayeitwa Deception (sijui yupo wapi siku hizi) naye anaweza kujenga hoja sana.
Mwingine ni mkuu ONTARIO anaweledi mzuri kwenye business na ujasiriamali. Pia anaweza sana kusimulia tukio fulani kwa weledi
Member mwingine ni Al-Watan. Huyu anauwezo mkubwa kufikiri logically. Aina yake ya kufikiri ni kama Kiranga japo yeye hashiriki sana mijadala hapa
Pia kwenye hii list yangu namsifu The Bold anakipawa cha kusimulia makala za kijasusi anazozipata kwa msaada wa mtandao
Update
Aaaah nimemkumbuka my brother Dan Copper. Huyu yupo vizuri upande wa celebrity forum. Hususani muziki wa majuu. Zamani alikuwa anajiita Sergio Paulo...
Kwa upande wa siasa mkuu barafu nakusifu.
Hao ni baadhi, wapo wengi hapa JF nao si haba. Tunajifunza na kufurahia hoja na mada zao
Halaf habari zako za kunicopia sitakii kwanza nishajua pa kuzipataaDah!
Niseme tu shukran jazilan!
Nundu cham,nundu ndani ya instagram