The Greatest JF intelligent man

The Greatest JF intelligent man

To be honest intelligence of our beloved the bold is limited to what he writes in the thread which are not product of his own creativity but he might be copying from other global sources.
The bold is the best and most intelligent writer in JF. I think this is the scope of his intelligence.
Because I have never seen him participating in logical and critical thinking based discussions I won't say anything beyond what I have seen.

I wish one day to have that superintelligence in writing things as the bold is doing.

Kiranga, was the best also
Kuna kitu watanzania wengi tunakosa, ambacho ni Taarifa, mtu ambaye anakosa taarifa anajikuta yupo shimoni muda wote.
Kwa upande wangu jamaa sio intelligent ila anatafsiri tuu informations ambayo zipi online tayari zimejaaa kwa lugha ya Kiingereza na anaiweka kwa kiswahili then analeta hapa.

Napenda nimpongeze kwa juhudi hizo na awe anakumbuka to acknowledge source. Itapendeza na kumuongezea heshima zaidi.

Salute kwako mkuu The Bold, komaa unaeleweka vyema.
 
Hapa JF aliwahi tokea mtu mwenye uwezo mkubwa sana wakufikiri......si mwingine ni mkuu Kiranga.

Mwingine mwenye uwezo mkubwa wa kufikiri ni mkuu Nyani Ngabu.

Nafahamu Nyani Ngabu wakatimwingine anaweza kufanya mambo mengi ya utani tu laini huyu jamaa anauwezo mkubwa

Pia member anayeitwa Deception (sijui yupo wapi siku hizi) naye anaweza kujenga hoja sana.

Mwingine ni mkuu ONTARIO anaweledi mzuri kwenye business na ujasiriamali. Pia anaweza sana kusimulia tukio fulani kwa weledi

Member mwingine ni Al-Watan. Huyu anauwezo mkubwa kufikiri logically. Aina yake ya kufikiri ni kama Kiranga japo yeye hashiriki sana mijadala hapa

Pia kwenye hii list yangu namsifu The Bold anakipawa cha kusimulia makala za kijasusi anazozipata kwa msaada wa mtandao

Update

Aaaah nimemkumbuka my brother Dan Copper. Huyu yupo vizuri upande wa celebrity forum. Hususani muziki wa majuu. Zamani alikuwa anajiita Sergio Paulo...

Kwa upande wa siasa mkuu barafu nakusifu.

Hao ni baadhi, wapo wengi hapa JF nao si haba. Tunajifunza na kufurahia hoja na mada zao
Mkuu listi yako inafanana na yangu kwa asilimia 99.
 
Kuna kitu watanzania wengi tunakosa, ambacho ni Taarifa, mtu ambaye anakosa taarifa anajikuta yupo shimoni muda wote.
Kwa upande wangu jamaa sio intelligent ila anatafsiri tuu informations ambayo zipi online tayari zimejaaa kwa lugha ya Kiingereza na anaiweka kwa kiswahili then analeta hapa.

Napenda nimpongeze kwa juhudi hizo na awe anakumbuka to acknowledge source. Itapendeza na kumuongezea heshima zaidi.

Salute kwako mkuu The Bold, komaa unaeleweka vyema.
Umenena haswaaa
 
Hapa JF aliwahi tokea mtu mwenye uwezo mkubwa sana wakufikiri......si mwingine ni mkuu Kiranga.

Mwingine mwenye uwezo mkubwa wa kufikiri ni mkuu Nyani Ngabu.

Nafahamu Nyani Ngabu wakatimwingine anaweza kufanya mambo mengi ya utani tu laini huyu jamaa anauwezo mkubwa

Pia member anayeitwa Deception (sijui yupo wapi siku hizi) naye anaweza kujenga hoja sana.

Mwingine ni mkuu ONTARIO anaweledi mzuri kwenye business na ujasiriamali. Pia anaweza sana kusimulia tukio fulani kwa weledi

Member mwingine ni Al-Watan. Huyu anauwezo mkubwa kufikiri logically. Aina yake ya kufikiri ni kama Kiranga japo yeye hashiriki sana mijadala hapa

Pia kwenye hii list yangu namsifu The Bold anakipawa cha kusimulia makala za kijasusi anazozipata kwa msaada wa mtandao

Update

Aaaah nimemkumbuka my brother Dan Copper. Huyu yupo vizuri upande wa celebrity forum. Hususani muziki wa majuu. Zamani alikuwa anajiita Sergio Paulo...

Kwa upande wa siasa mkuu barafu nakusifu.

Hao ni baadhi, wapo wengi hapa JF nao si haba. Tunajifunza na kufurahia hoja na mada zao
Cc ONTARIO Al-Watan Nyani Ngabu Kiranga
 
Dah mbeba maboksi najua watu wanamkubali sana....hata kama ni kimya kimya....😀.

İla hutakiwi kusema unamkubali mbeba maboksi.....usije ukaamsha mashetani ya watu bure.
Nundu cham,nundu ndani ya instagram
 
Hapa JF aliwahi tokea mtu mwenye uwezo mkubwa sana wakufikiri......si mwingine ni mkuu Kiranga.

Mwingine mwenye uwezo mkubwa wa kufikiri ni mkuu Nyani Ngabu.

Nafahamu Nyani Ngabu wakatimwingine anaweza kufanya mambo mengi ya utani tu laini huyu jamaa anauwezo mkubwa

Pia member anayeitwa Deception (sijui yupo wapi siku hizi) naye anaweza kujenga hoja sana.

Mwingine ni mkuu ONTARIO anaweledi mzuri kwenye business na ujasiriamali. Pia anaweza sana kusimulia tukio fulani kwa weledi

Member mwingine ni Al-Watan. Huyu anauwezo mkubwa kufikiri logically. Aina yake ya kufikiri ni kama Kiranga japo yeye hashiriki sana mijadala hapa

Pia kwenye hii list yangu namsifu The Bold anakipawa cha kusimulia makala za kijasusi anazozipata kwa msaada wa mtandao

Update

Aaaah nimemkumbuka my brother Dan Copper. Huyu yupo vizuri upande wa celebrity forum. Hususani muziki wa majuu. Zamani alikuwa anajiita Sergio Paulo...

Kwa upande wa siasa mkuu barafu nakusifu.

Hao ni baadhi, wapo wengi hapa JF nao si haba. Tunajifunza na kufurahia hoja na mada zao

Dah!

Niseme tu shukran jazilan!
 
Nundu cham,nundu ndani ya instagram

Kuna singo iko jikoni inapikwa na karibu itatoka.

Itam feature J Moo na mchuchu wake na le supastaa mwenyewe mzee wa kiki.

Hiyo ikitoka Kiba na Mondi lazima wafunikwe tu maana hakuna namna....

Ngoma yenyewe itaitwa 'nundu' 😀

Wewe unayo nundu?
 
Back
Top Bottom