The Greatest Man in Universe: Kijana mdogo aliyefanya makubwa na kuacha alama akiwa na umri mdogo

Labda anamaanisha yuko kwenye 20s !
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Haya umeyatoa wapi?.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wengi mnatarajia kupata elimu fulani kutokana na maandiko ya maandishi ya vitabu vya watu fulani, ni nadra sana kujiuliza wao walipata wapi hayo waliyo yaandika? Labda wanakuwa hawapo duniani, tunawaita mitume, philosophers etc. I wish wangelikuwa hai wangeweze ku-support my answer "In the innermost man there is vast knowledge, all that man need is how to tap it"

Ninacho changia comes from within, I have been yogi and seeker of the truth for 40 years, through my path in spiritual knowledge I have discovered not only my true self but the source of creation around me.

Haya umeyatoa wapi?.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tusaidie kurani inasema vitabu vilivyotelemshwa Kuna torati,zaburi ,injili na kurani.

Kurani tunaiona.Hivyo vitabu Vingine viko wapi? Waislamu tuonyesheni
vitabu vyingine walifungia chapati shule vikapotea ndio maana ikaletwa quran kitabu kinachowaweka watu wasio kuwa na bahati ya kukisoma mashakani kwani kinatoa ule ujinga uliokuwa nao kama reality yako na kukupa reality mpya na pure.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
sawa mkuu! ila mmezidi kutuchanganya mara mseme yesu ni mungu, hapohapo sijui ni kijana mdogo .. atuelew
 
Nimekuelewa sana mkubwa DA'Vinci
 
Kumeibuka watu wengi wakidai Yesu hakuwahi kuwepo,ni stori tu za kutunga,tena wanadai na ushahidi kbs stori ya maisha ya Yesu ni ya kukopi kutoka kwa watangulizi wake km Osiris,Buddha na Krishna.Mmojawapo wa watu wanadai hivyo ni former pastor Ray Hagins.

Swali,mtu akitaka umthibitishie kuwa kweli mtu Yesu alikuwepo duniani utampa jibu gn?
 
Alizaliwa kwenye HORI na siyo HOLI kama uoivyosema
 
Hao walikua ni watoto wa Joseph sio maria
Lete ushahidi. Tatizo ni namna watu wanavyomchikulia as if alikuwa anaonekana special na ali behave kitakatifu. Kama ingelikuwa hivyo basi asinge sulubiwa na kukataliwa.

Utakatifu ulikuwa ni wakiroho sio mwili.
 
Lete ushahidi. Tatizo ni namna watu wanavyomchikulia as if alikuwa anaonekana special na ali behave kitakatifu. Kama ingelikuwa hivyo basi asinge sulubiwa na kukataliwa.

Utakatifu ulikuwa ni wakiroho sio mwili.
Yesu kafufuka jana mkuu.. unasemaje juu ya hilo
 
Yesu kafufuka jana mkuu.. unasemaje juu ya hilo
Kufufuka ni pale Roho inpata enlightenment.

Siku ya kwanza: Roho haina mwili (innocent) kabla hajazaliwa kwenye mwili

Siku ya Pili: Roho inatumikia mwili na kutumwa na akili.(Mtumwa wa shetani na hivyo anakuwa mautini) - maisha ya mwilini


Siku ya tatu: Roho inajitambua kuwa ina u Mungu na iko pamoja na MUNGU. Attainment of ONENESS state of conciosness free from birth and death - unaipata ukiwa mwilini.

Note: Kwa watu wote. Sio Yesu tuu.
 
Hebu nendeni google muandike the greatest man in universe halafu mtapata jibu msiandike vitu kwa mapenzi yenu wakati kuna watu washafanya research sio umekaa tu kitandani umekopa bundle unakuja kuanzisha Mada usichokijua
 
Mkuu mm nimeleta tafiti yangu hapa je kwanini nawe usilete hapa hayo uliyoyaona huko
Umefanya tafiti kwa kutumia source gani? Uliuliza watu au ulifanyaje Huo utafiti unataka kuniambia google wamekosea utafiti wao hila ww wa tandale kwa mtogole umepatia wakati google wapo dunia nzima na wana resources za kutosha kufanya utafiti ww Huo utafiti umefanya mtaani kwenu ndio uandike universe ungeandika greatest man wa Hapo mtaani kwenu sawa Hawa ndio wana resources za kufanya research hyo Kwako kawadanganye mtaani Kwako

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…